Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Uwa nashangaa sana watanzania wanapotaka kujua elimu ya Mbowe kwa nia njema kabisa lakini pro-Chadema hawataki watu wajadili elimu ya Mbowe sijui kwa nini.

Unachochea kuni
 
viongozi wengi sana hap CDM elimu yao ni gumashi tupu !

Hili ni tatizo jingine...!!!!

Pamoja na Umagumashi wa Elimu zao wamefanikiwa kukiongoza chama ambacho kwasasa ndicho kikuu cha upinzani na kinakwenda kushika serikali. Sambamba na hilo kimetoa hisani kwa vyama vingine vitatu vyenyewasomi wa kufa mtu kuungana nacho kuunda UKAWA...!!!

Hapa inabidi futafute Definition mpya ya Elimu kama kwa haya yote kunamaanisha kushindwa kwa Elimu....!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Naona kama anakwepa kumtaja Mnyika kwenye chambuzi yake hii sijui kwanini?

BACK TANGANYIKA

Mnyika alimtenda vibaya sana hapo Ubungo 2010.

Mtatiro hana hamu tena na kijana machachali J.J.Mnyika
 
Tatizo la vijana wengi wa buku 7 nimazuzu!!
Na ni wachache sana
 
Iweje mlimwajiri BOT kama alifeli kwa kiwango hicho na iweje mlimruhusu agombee uraisi 2005 wakati mnasema hana degree Basi hii itakuwa serikali dhaifu kupita zote duniani

kipindi hiko utaratibu wa shahada kwa mgombea kua na shahada
 
Na sasa ni bilionea wakati wewe uliopata div 1 point 7 na Div 1 ya point 3 unapiga mihayo kuzunguka town na mifuko ya khaki kutafuta kazi majasho hadi kwenye meno vumbi hadi kwenye kope.

awe bilionea au milionea haibadilishi kua alipata zero

na ndio mana anaongoza mazumbukuku kma wew huko ukawa
 
kumbe ndio maana alipinga kile kipengele cha mbunge kuwa na shahada kwenye rasimu ya warioba???
nilikuwa sijui bana
 
elimu ya mbowe ikiguswa pro chadema mashetani yanawapanda
 
Udhaifu wa pili ni katika kufanya uamuzi. Watu waliofanya kazi na Mbowe ndani ya Chadema kwa muda mrefu, wameniambia kuwa ana tabia ya kufanya uamuzi kwa haraka mno na ana tabia ya kuamini taarifa za watu anaowaamini, hataki kuzichuja vizuri. Staili hii ya uamuzi na tafakuri ya mambo ni upungufu ambao unaweza kumwangusha kiongozi yeyote. Mara kadhaa nimesisitiza kuwa kiongozi mzuri hupaswa kufanya uamuzi, lakini hupaswa kuyafanya kwa utaratibu na akijipa muda wa kutosha wa kupima athari zake ziwe za muda mfupi na muda mrefu.

nimeiweka hii kama hamkusoma hiyo mada yote. inaonekana jamaa ni mkurupukaji. na hii yote inachangiwa na upeo mdogo alio nao na hasa ki-elimu. na hapa ndo wale akina zero brain lema wanapotumia chance kum-mislead jamaa.

Katika safu ya julius mtatiro ya NANI NI NANI URAIS.

Mtatiro amekosa ushirikiano na Mbowe kadhalika viongozi wa juu hapo makao makuu juu ya wasifu wa Mbowe kielimu .
Namnukuu Ntatiro:

Wasomaji mtaniwia radhi kwa sababu taarifa za elimu ya kiongozi huyu na mambo mengine muhimu yanayo mhusu na mtiririko mwingine hauko kwenye tovuti ya bunge . Lakini pia ofisi yake haikutoa ushirikiano ili kupata taarifa hizo na hata viongozi wajuu na waandamizi wa chama hicho
Walihahidi kukamilisha wasifu huo na kunipa lakini baaadaye wakanieleza kuwa hawawezi kuutoa kwa sababu mbowe sio mgombea urais,

Pamoja na kuwa nilishawajulisha kuwa anachbuliwa kwa sbabu anatajwa kuwa nawananchi ana sifa na vigezo vya kuwania nafasi hiyo.
Mwisho wa kunukuu.

Mtu mzito kama mbowe kupitia kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wasifu wake usijulikane.

atakua alizungusha

Uwa nashangaa sana watanzania wanapotaka kujua elimu ya Mbowe kwa nia njema kabisa lakini pro-Chadema hawataki watu wajadili elimu ya Mbowe sijui kwa nini.
 
Pamoja na hilo la elimu kutoeleweka. Kazi zake na mchango wake kwa jamii na taifa vinaeleweka vizuri. wapo waliosoma na kufaulu sana laki wamechangia nini kwa jamii? Distinctions katika mitihani na maisha ya watu ni lazima vi correlate otherwise ni bure tu. Sasa ni kwa nini tusijadili huu mchango wake kuliko elimu yake?Mbona hamuulizi elimu ya muigizaji maarufu Mzee majuto huku kila siku mnafaidi kwenye fani yake. na Mbowe naye tunamfaidi kwenye fani yake ya siasa.
 
Napenda siasa za huyu bwana ,very tough

Mtu akikosa mambo ya kufanya lazima atakuwa na tabia za kis..ho..g..sa hasa anapokuwa ni jinsia ya kiume.

Sasa wewe kujua elimu ya Mbowe inakusaidia kwa lipi au unataka kumpeleka shule.

Iweje taarifa zake zikosekane hata kwenye tovuti ya bunge?

viongozi wengi sana hap CDM elimu yao ni gumashi tupu !

atakua alizungusha

Hahahahha...eti jamaa wamegoma kuelezea academic background ya mwenyekiti....si akagonge ile vodafasta ya mwaka mmoja agu apige pepa?
 
Katika safu ya julius mtatiro ya NANI NI NANI URAIS.

Mtatiro amekosa ushirikiano na Mbowe kadhalika viongozi wa juu hapo makao makuu juu ya wasifu wa Mbowe kielimu .
Namnukuu Ntatiro:

Wasomaji mtaniwia radhi kwa sababu taarifa za elimu ya kiongozi huyu na mambo mengine muhimu yanayo mhusu na mtiririko mwingine hauko kwenye tovuti ya bunge . Lakini pia ofisi yake haikutoa ushirikiano ili kupata taarifa hizo na hata viongozi wajuu na waandamizi wa chama hicho
Walihahidi kukamilisha wasifu huo na kunipa lakini baaadaye wakanieleza kuwa hawawezi kuutoa kwa sababu mbowe sio mgombea urais,

Pamoja na kuwa nilishawajulisha kuwa anachbuliwa kwa sbabu anatajwa kuwa nawananchi ana sifa na vigezo vya kuwania nafasi hiyo.
Mwisho wa kunukuu.

Mtu mzito kama mbowe kupitia kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wasifu wake usijulikane.

No, it is impossible. Mtatiro atuambie ukweli ni aibu kusikia that news
 
Uwa nashangaa sana watanzania wanapotaka kujua elimu ya Mbowe kwa nia njema kabisa lakini pro-Chadema hawataki watu wajadili elimu ya Mbowe sijui kwa nini.

Watanzania hawana haja kujua elimu ya mtu kwa sababu elimu katika nchi hii haina msaada wowote.Tumeona maprofesa wengi wakiwa mafisadi na hata ukienda bungeni huwezi kuona tofauti ya maprofesa waliomo bungeni na akina Lusinde au Maji marefu.
 
Mtatiro kachanganyikiwa sio bure, sasa elimu ya Mbowe unataka ya nini kwani amekwambia umtafutie kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom