Kama ishu ingekuwa Ni degree au u profesa basi tz tungekuwa matajiri..maendeleo ya nchi hayahitaji kiongozi mwenye elimu kubwa bali kiongozi mwenye maono ambaye atatumia wataalamu wanaomzunguka kuweza kufikia malengo na maono yake...hapo ndo mbowe anapowashinda wengine..adolf Hitler hakumaliza hata darasa la Saba, lakini ndo alifanya ujerumani kuwa imara kiuchumi na kuwa na barabara bora duniani kwasababu Tu alikuwa na vision, na vision yake ilikuwa Ni kuiona ujerumani ikiwa nchi yenye nguvu zaidi duniani na kufanikisha Hilo aliwatumia wataalamu WA kila kada kuhakikisha Hilo linatimia...elimu bila vision kiongozi ataongoza kwa mazoea..