Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Samahani sana wadau kwa kupotea.. Jumatatu ya 20/07/2015... Niliangusha simu yangu.. Bahati mbaya haikuwaka tena.. Nimenunua nyingine. Am back.. Vitu vzr vinakuja.
Sory guyz kwa kusubiri bila taarifa.

Kama vipi usije tu.
Ile ari ya kufuatilia riwaya yako ilishaisha kitambo.
Kuna utitiri wa riwaya nyingi tu za kusoma huko fb,Whatsapp na hapa hapa Jf!
Wasiojua jinsi ya kuzi-search ndiyo watakaosumbuka kuchungulia huku kila saa..
 
nifundishe ndugu'me mwenyewe nshamchoka huyu mtu

Tukianza na fb,nenda kwenye neno 'search',andika neno lolote linalofanana kimaana na neno riwaya,mfano: 'riwaya' au 'hadithi' au 'mikasa' au 'simulizi' au 'story za' na mengine mengi unayojua wewe.
Baada ya kuandika,results found zitakazokuja zinaweza kuwa either za groups,pages au mtu mmoja mmoja.Kusoma za katika group,kuna group nyingine mpaka ujiunge ndiyo usome,na group nyingine hazina ulazima wa kujiunga na kama kawaida unasoma.Group za lazima ujinge ni private group,closed group na secret group.Group ambazo hazina haja ya kujiunga zinaitwa public group.Kujiunga kwenye group click 'join group'
Tukija kwenye pages,hizi hazina ulazima wa kujiunga,kujiunga kwa page una 'like' page.
Tukija kwa mtu mmoja mmoja,wengine riwaya zao mpaka ujiunge nao yaani 'add friend',na wengine unaona riwaya zao bila hata kujiunga nao.
Tukija JF,nenda kwenye neno search halafu andika neno lolote linalofanana kimaana na neno riwaya.Njia nyingine andika jina la mwandishi yeyote au andika jina la riwaya.Inapendeza zaidi uandike ukiwa ume-sign in kwa sababu ukiwa ume-sign in una andika mara moja,usipo sign in una andika mara tatu.
Tukimalizia na whatsapp,kuna kujiunga wewe mwenyewe au kuunganishwa.
 
Asante sana naomba msaada niki takakupost hu jf nashindwa naishia kusoma na kukoment sm yangu ni huawei330 msaada plz.
 
Humu ndan hakuna dili Mdharuba amekuwa batili zaidi ya khatibu

Bora kushinda jukwaa la siasa tu

Umeona eeh! Ngoja tukajiangalizie mazingaombwe ya wanasiasa, huyu mdharuba hafai tena
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh! Ngoja tukajiangalizie mazingaombwe ya wanasiasa, huyu mdharuba hafai tena

Best kule siasani kuna hadithi tamu story za tume ya Richmond ya 2007 zimerud tena

Yan kule ni full utamu
 
Best kule siasani kuna hadithi tamu story za tume ya Richmond ya 2007 zimerud tena

Yan kule ni full utamu

Mwenzio najionea full mazingaombwe tu, wanasiasa nimewaogopa, wanaweza kutuuza mchana kweupe kwa wachina
 
Asante nimekua niki click jukwaa husika kisha hutokea post zawatu na si new topic maelezo zaidi tafadhali
 
Mdharuba is here... Mchana na ucku niko katika mchakato wa kuandika kwa ukamilifu st0ry y0te ya HISTORIA BATILI ili kuharakisha kitabu chake. Kikikamilika nitakuja hapa, wana0htaji st0ry y0te kwa ukamilifu najua bdo wananiunga mk0n0 na wanajua nini nafanya, na wanasubiri. Walioanza kunituc pia c vbya ndio was0mi wetu wa kitz walvyo! Vitu vzr havihtaj haraka, st0ry ipo na itakamilika! Na Mdharuba pia anafanya kaz kwa ufanisi, umakini na malengo ndo maana s0te tunapenda st0ry zake!! Nadhani waungwana wananielewa!
Kuna m2 kanidis sna hapo juu...ila mi Namquote mwanafa ktk wimbo na jide Msiache ku0ngea anasema "NA SI LAZIMA UWE NA HOJA, NIDIS TU KAMA INSPEKTA, DANDIA TRENI KWA MBELE MSOJUA NDO MNAVY0TOKA"...
Tupo pam0ja
 
Kama vipi usije tu.
Ile ari ya kufuatilia riwaya yako ilishaisha kitambo.
Kuna utitiri wa riwaya nyingi tu za kusoma huko fb,Whatsapp na hapa hapa Jf!
Wasiojua jinsi ya kuzi-search ndiyo watakaosumbuka kuchungulia huku kila saa..

ari yako ingekua imeisha ucngekua unafungua hii thread.. Wewe ni mnafk tu
 
We are waiting whenever you are ready just let us know... Good work J K
 
ari yako ingekua imeisha ucngekua unafungua hii thread.. Wewe ni mnafk tu

Unafahamu maana ya mnafiki?
Mnafiki ni yule akiahidi hatimizi na akiaminiwa hufanya khiyana.
Mbona unajihisi kama umetukanwa?
Wapi kuna neno la tusi?
Acha kuzingua,hatuangalii sura hapa.
 
Unafahamu maana ya mnafiki?
Mnafiki ni yule akiahidi hatimizi na akiaminiwa hufanya khiyana.
Mbona unajihisi kama umetukanwa?
Wapi kuna neno la tusi?
Acha kuzingua,hatuangalii sura hapa.

anza na wewe kutunga mi ntas0ma
 
Mtu unaebishana nae anaitwa Kibishi....achana nae mkuu utabishaba nae na muafaka hamtofikia

Hiyo ID name yangu ya Kibishi haimaanishi mimi ni mtu wa kubishana bila sababu maalum.
Kumbuka wakati anakwenda sawa na hadhira sikumtolea negative words,zaidi nilikuwa namsupport,sasa anakwenda tofauti na alivyoahidi lazima nimkumbushe.
Mazuri napongeza na mabaya nakemea.
Usikubali kuburuzwa kamwe.
 
ushawah kupga hata cm kuulzia nin tatzo? Au ni malalamiko ya hapa jukwaani tu kutafta ujiko? How much u paid 4 da st0ry?
 
ushawah kupga hata cm kuulzia nin tatzo? Au ni malalamiko ya hapa jukwaani tu kutafta ujiko? How much u paid 4 da st0ry?

acha ujinga kwani ulilazimishwa kuweka humu?si ungebandika tangazo kule matangazo madogomadogo kuwa unauza story kama ulikuwa unataka fedha kwa kijistory chako!ebo tutolee upunguwani wako hapa
 
Back
Top Bottom