*HISTORIA BATILI (Fake History)*
Miaka 27 iliyopita, katika kijiji fulani, alizaliwa mtoto wa kiume aliyemilikishwa jina la Mwatete na wazazi wake. Alizaliwa katika familia ya kimasikini sana. Ingawa alikua na uwezo mkubwa sana wa kiakili (IQ).
Uwezo wake mkubwa wa akili unamfanya aweze kupata bahati ya kupendwa na wengi kati ya watalii (wa ndani na wa nje) waliokuwa wakija kijijini kwao kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kitalii. Anadhaminiwa na anafanikiwa kuanza maisha mapya ya kitajiri. Anakuwa msaada mkubwa kwa jamii inayomzunguka, haswa watu masikini na Yatima.
Lakini utajiri wake unaambatana na siri kubwa. Hataki watu wahoji kuhusu utajiri wake. Hataki watu wafuatilie kuhusu utajiri wake.
Anashirikiana na mama yake kwa njia nyingi za kishirikina kuhakikisha *status* yake haishuki. Ana pesa nyingi sana, lakini vyanzo vyake vingi vya mapato havijulikani.
Anashiriki katika mauaji, na anawatumia madaktari kutengeneza ushahidi wa uongo.
Ni siri gani ipo nyuma ya utajiri huu wa Mwatete?!
Kwanini anashiriki katika mauaji kiasi hiki?
Kwanini hapendi mtu afuatilie maisha yake?
Majibu ya maswali haya, na mengine mengi, utayapata katika kitabu cha *HISTORIA BATILI* chini ya Mwandishi *Mdharuba, J.K.*.
Kaa mkao wa kula..
*Mawasiliano:*
Call: +255625986793
Whatsapp: +255718274130
Barua pepe:
mdharuba@gmail.com
Kwa mikoa ya kanda ya kaskazini (Mwanza, Kilimanjaro, Mara, Arusha na Manyara) vitabu vitvapatikana kwa wakala wa "HISTORIA BATILI" kwa mawasiliano
Jina: Twaariq Mohamed
Simu 1: 0717468903
Simu 2: 0762833274
whatsapp: 0785784477
barua pepe:
mohamedtwaariq@gmail.com