Me kukesha humu kama akina Ram siwezi, kitabu kikitoka nimention tu.
Ahahahaha..... yaani mdharuba anabore sana, basi tu!
Hahahaaa, pole mkuu, kila nikiingia humu naona anavyokuzingua. Afu naanza kuhisi anafanya hivi makusudi ili muwe mnachat back n forth. Jamaa kakuamgukia ati. Fursa inawezekana ati kuitumia mkuu.
Mkuu, utamu tunaupata, lakini cha...... Tunakiona!Sawa MKUU pamoja sana
Mkuu, utamu tunaupata, lakini cha...... Tunakiona!
Tunapiga sana chabo kwenye hii post.
Hivi kwa nn hadithi za kibogo ni za blaa blaa
hawa chipkizi wanashangaza sana wajifunze kwa wale wakongwe wa riwaya nchini!
Mdharuba
Riwaya batili za Mdharuba
Hawafanyi kama kazi
Hivi kwa nn hadithi za kibogo ni za blaa blaa
Still waiting
Samahani sana wadau kwa kupotea.. Jumatatu ya 20/07/2015... Niliangusha simu yangu.. Bahati mbaya haikuwaka tena.. Nimenunua nyingine. Am back.. Vitu vzr vinakuja.
Sory guyz kwa kusubiri bila taarifa.