Wakati kitabu cha HISTORIA BATILI kikiwa mbioni kukamilika, jiandae kusoma story mpya hapahapa JF, inayoenda kwa jina la SIKUTEGEMEA... Ni ya kusisimua zaidi ikihusisha zaidi mapenzi na uchawi!! Unaanzaje kukosa... Bei ya kitabu nitaisema wiki ijayo,, na nitasambaza mwenyewe...
Nitaandaa utaratibu mzuri kiasi cha kuweza kukufikia popote ulipo!!.
Ahsante wewe ambaye unaendelea kufuatilia na kuenjoy.. Tuko pamoja.
Sitawaangusha (in Magufuli's voice)😀😀😀