Sory guyz nilidharurika jana, lakin ndani ya nusu saa naileta hapa[/QUOTE
Itabid ulete episode 3 mkuu
Sory guyz nilidharurika jana, lakin ndani ya nusu saa naileta hapa
Kumbe na wewe Mdharuba wale wale tu wenziye na akina Kid Kudi,idawa,Mapengo Junior na wengine kibao wanaozingua.
Tarehe 15 uliyotuahidi imeshapita.
Unaanza kutupotezea stimu zetu ujue!
Hapa Jf huwa hatuangalii sura unajua!
Unatulazimisha tukupatie moto ujue!
Usiogope..kwa sasa ctakaa sana.