Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Itanoga sana sikukuu ya Idd ya leo ukituletea atleast 3 episodes.
Hapa juice asilia,pale biriani maini halafu kwa pembeni tunashushia na Historia Batili.

Your wish is my command.. Lakin sio 3 sasaaa...
 
vipi mkuu Mdharuba utakuja kesho au tuendelee kusubiri? huduma yako ni muhimu mno mkuu. kitakapotpka kitabu tutaarifiane mkuu.
 
Nadhani kesho asubuhi...iko nusu afu kama niko kiwanja hvi now...
Kitabu kipo katika maandalizi, nitawapa taarifa punde kitakapokamilika... Hapa tunaweza kusogea mpaka episode 30; episode 270 zitakazobaki tutamalizia kwenye kitabu.
 
Au tusubiri after sittat shwauwwal?

Naandika kwa ajili ya kitabu, baadae naandika in summary kwa ajili ya kupost hapa... Nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja, ndo maana inakua hivi..,, ila kwa sababu kitabu karibuni kinatoka, msiogope.
 
Hichi ndicho kitabu changu kipya maishani ....fake history tena nita kifeed kwenye my amazon candle kabisa
 
Nadhani kesho asubuhi...iko nusu afu kama niko kiwanja hvi now...
Kitabu kipo katika maandalizi, nitawapa taarifa punde kitakapokamilika... Hapa tunaweza kusogea mpaka episode 30; episode 270 zitakazobaki tutamalizia kwenye kitabu.
Mhh? Episode 270! hapo unaweza kuta mhusika mkuu anazaliwa kunako episode ya 270,hawa akina Khatib ni chenga tupu.
Bro umeniweza mida hii nikajua nikitoka bata batani,nitakuta umeshusha mzigo! Haya bwana tunasubiri!
 
Stering hajazaliwa...hahaahaaa
 
Huwa ana maringo huyu nae, khaa! Unabenbelezwaaaaaaa kama vipi uache kuleta story hapa tusubiri hicho kitabu tu
 
Back
Top Bottom