Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,813
- 11,991
Inaonekana wamefanya maovu mengi na yakikatili nyuma ya pazia, kiasi kwamba hawalali wanaweweseka kila dakika.Nahisi viongozi wetu wa Tanzania wamepatwa na mapepo... Ee Mola tusaidie
At least they should seek local input kwanza by poking ideas on what direction the government should pursue.
Nadhani waziri na timu yake ni wasikivu, ukitumia njia sahihi ya kuwasilisha mawazo yenye kujenga, naamini watayazingatia.At least they should seek local input kwanza by poking ideas on what direction the government should pursue.
Kama wanaweza anzisha zoom meetings kila siku za kumsifia raisi; kipi kinawashinda kuanzisha mjadala wa mikataba ya mafuta na gesi wadau wachangie kushauri serikali ijikite na mambo gani kupata mawazo ya watu mbali mbali.
Uko sahihi kabisa, je wabia wetu katika mradi huo ni kina Nani kutoka wapi? Naanza kuona mwelekeo wa kuweka mayai yetu yote katika kikapu kimoja tu Marekani?Katika ku summarise speech ya kiazi yule umeacha hoja ya msingi kwenye maeneo ya majadiliano.
Anadai wanatumia consultant kwenye key four areas kwa ushauri;
Kifedha (commercial)
Biashara (economic)
Kiufundi (technical)
Sheria (hii sio technical issue ya kibiashara).
Hizo tatu za juu kweli ni key issues lakini sio hizo tu zipo sita.
Mazingira (hii ni key issue kwenye dunia ya leo katika majadiliano).
Mbili zingine za jamii na siasa wameparaza paraza tu lakini sijasikia emphasis katika majadiliano hayo mambo yanatakiwa kuwa kwenye maandishi pia especially ushiriki wa jamii.
Ushauri wa kisheria ni muhimu lakin unakuja kivingine sio key issue ya namna mradi utakavyoendeshwa kila siku.
Sheria ni muhimu katika kukadhia makubaliano; sasa makubaliano yenyewe bado ushauri wa sheria wa nini at this stage unless hao negotiators are clueless ata kwenye basic issues za majadiliano ya awali.
Mambo yenyewe awayaelewi halafu wanayakimbiza.
Huo mradi eleweni wanaenda kutoa mali za Tanzania sandakalawe wao wanachofikiria ni hizo $30 za uwekezaji wa awali not sure even those sums are justifiable, let alone wanajua madhara ya interest kubwa kwenye kugawana mapato huko mbeleni bila kuuliza source za hizo funds.
Yaani chief negotiator anampigia simu waziri kwa ushauri, Makamba huyu huyu ambae ukimsikiliza akiongelea hayo mambo hajui lolote; sasa sijui ana mshauri nini.
Hakuna shughuli hapo zaidi ya kugawa maliasili kwa mabeberu kwa bei chee.
Mawazo ndio hayo aandae zoom meeting ya kujadili aspects za mikataba ya mafuta at least serikalini wawe na ideas za kutosha.Nadhani waziri na timu yake ni wasikivu, ukitumia njia sahihi ya kuwasilisha mawazo yenye kujenga, naamini watayazingatia.
Ni jambo jema,waharakishe kujenga Ili tuwapige BAO Msumbiji.Contents za Mh. Waziri Makamba
1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti uliendelea katika maeneo ya kina kirefu cha Bahari ya Hindi. Hadi kufikia mwezi Mei 2022, jumla ya Futi za Ujazo Trilioni (TCF) 57.54 za gesi asilia ziligunduliwa katika maeneo ya nchi kavu na kina kirefu cha bahari. Kati ya kiasi hicho Futi za Ujazo Trilioni 47.13 zimegundulika katika Vitalu vilivyopo katika kina kirefu cha bahari ya Hindi, na Futi za Ujazo Trilioni 10.41 zimegundulika kutoka maeneo ya nchi kavu.
2. kutokana na ugunduzi huo wa kiasi kingi cha gesi asilia, Serikali ilifanya maamuzi ya uanzishwaji wa Mradi wa Kusindika na Kuchakata Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas -LNG) kama njia bora ya kuendeleza rasilimali hiyo kwa ajili ya kuuzwa katika masoko ya Kimataifa na sehemu nyingine ya gesi hiyo kutengwa kwa ajili ya matumizi ya ndani ya nchi
3. Serikali kupitia TPDC itashiriki kikamilifu katika utekelezaji wa mradi huu. Ushiriki, katika ubia na ushirika wa uendeshaji wa mradi, utasaidia kujenga uwezo wa Shirika hili ili miaka ijayo liweze kufanya shughuli hizi lenyewe na kwa tija na ufanisi kwa manufaa makubwa zaidi kwa taifa. Safari ya kuisuka upya TPDC kama Shirika mahiri na la kimkakati imeanza kwa wewe kutupatia Mwenyekiti wa Bodi mzito na sisi tumeunda Bodi mpya yenye kutoa mwelekeo wa dira mpya tunayoitaka kwa TPDC.
4. Manufaa yatakayopatikana katika utekelezaji wa mradi huu ni pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi; kujenga uzoefu wa TPDC kupitia ushiriki wake; kuongeza mapato ya Serikali yatakayotokana na mauzo ya gesi; upatikanaji wa gesi asilia iliyochakatwa kwa ajili ya matumizi ya ndani ya nchi; ushiriki wa watanzania katika uuzaji wa bidhaa na utoaji huduma; na fursa nyingi za ajira kwa watanzania hususan katika kipindi cha ujenzi na hata katika kipindi cha uendeshaji wa mradi.
5. pia tumefanya uamuzi wa kuanzisha Eneo Maalum la Kiuchumi (Special Economic Zone) kwenye eneo la mradi ambapo kutakuwa na vivutio mbalimbali, ikiwemo bei nafuu ya umeme, ili kuvutia viwanda na shughuli za kiuchumi katika mikoa ya Kusini.
Wabia ni Shell, Equinox, Exxon Mobil na mwingine mimesahau jina that is not the issue.Uko sahihi kabisa, je wabia wetu katika mradi huo ni kina Nani kutoka wapi? Naanza kuona mwelekeo wa kuweka mayai yetu yote katika kikapu kimoja tu Marekani?
Hii gesi asili nmeona inawekwe kwenye mitungi na kufungwa kwenye magari kama nishati mbadala wa petroli,kwa ufahamu wangu mdogo niliju gesi asili sio raisi kuwekwe kwenye mitungi ndio maana yanatumka mabomba kwa ajili kuisambaza kwa wahitaji,kama hilo limewezekana kwenye magari ni kwa nini isijziwe kwenye mitungi kwa ajili ya matumizi ya majumbani?
Nafaham ya kwamba imekuwa ikitumika kwa matumizi ya nyumbani lkn kwa njia ya mabomba,hoja yangu ni kama imeweza kusindikwa kwenye mitungi na kutumika kwenye magari,je inashindakana nini kujazwa kwenye mitugi hii tunayotumia majumbani?Mbona kwenye matumizi ya majumbani inatumika muda mrefu? Gasi majumbani mbona wengine wameingiziwa?
Nafaham ya kwamba imekuwa ikitumika kwa matumizi ya nyumbani lkn kwa njia ya mabomba,hoja yangu ni kama imeweza kusindikwa kwenye mitungi na kutumika kwenye magari,je inashindakana nini kujazwa kwenye mitugi hii tunayotumia majumbani?
Nadhani ile ya magari sio LPG kama ya mitungi ya kupikiaNafaham ya kwamba imekuwa ikitumika kwa matumizi ya nyumbani lkn kwa njia ya mabomba,hoja yangu ni kama imeweza kusindikwa kwenye mitungi na kutumika kwenye magari,je inashindakana nini kujazwa kwenye mitugi hii tunayotumia majumbani?