Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

System is ze alpha and omega indeed, uma ni rahisi kuurubuni, mtu mmoja alisema ukijiona upo kwenye kundi la wengi, jichunguze mara mbili.
Thank God system ipo kwa ajili ya uma unaorubuniwa.
 
System inaundwa Na organs Na organs zinaundwa Na tissues Na tissues zinaundwa Na cells, Kwa taarifa yako sisi ndio cells !!!! Cells ziki misbehave system inageuka cancer so take note , cells 👣tutamisbehave tar 25 !!!!

Mkuu, cells zimesha misbehave tayari.
 
Kitengo kimetoka kwenye uhalisia wake na hivyo kwa kiasi kikubwa kupoteza heshima yake. Ningependa katika awamu ya tano na awamu nyingine zijazo kitengo kirudi to its roots.
 
Kitengo kimetoka kwenye uhalisia wake na hivyo kwa kiasi kikubwa kupoteza heshima yake.Ningependa katika awamu ya tano na awamu nyingine zijazo kitengo kirudi to its roots.

Adui namba moja wa watz ni hawa jamaa, wameifikisha nchi hii shimoni kabisa, udini, ukabila, kubaguana kiitikadi, madawa ya kulevya, rushwa, wizi na uchafu mwingine wote hawa ndio chanzo..we have lost in every front as a nation, with more than 50 years since independence we still behave as Southern Sudan..childish! ccm is nothing wala hawastahili lawama yoyote..these naste tanzania ignorants sec. services..mimi nadhani watz tufumbue macho tudeal na hawa mende hata kama ni mmoja mmoja! hatuwezi kuendelea na staili hii tukiwaachia wafanye uharibifu hata kwa vizazi vijavyo..TUCHUKUE HATUA SASA!
 
Haya kumekucha magambani...wanomba msaada wa sistimu sijui kitengo! hao nao ni watanzania... wana ndugu zao wanaopata shida kutokana mfumo kandamizi wa CCM nao sistimu wanataka ukombozi...wamechoka kutumiwa kama toilet paper.

Hivi kazi ya kitengo ni kubaka demokrisia au kulinda maslai ya Taifa?
Kama wenye nchi (wananchi) wamefanya maamuzi, kwanini kitengo kisimame kinyume nao?
Ni kweli kitengo kipo kulinda maslai ya taifa au kinatumika tu kulinda watawala?
Maswali ni mengi, lakini ni bora ya madikiteta walioamua kuikataa demokrasia waziwazi, kuliko wale wanaoihubiri demokrasia midomoni mwao, lakini matendo yao ni kinyume na maneno yao...!

MUNGU LAKINI WAKATI WOTE YUKO UPANDE WA HAKI.
 
Back
Top Bottom