Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,529
Nitakupm
Pm na mimi huo ushahidi ndugu.....
Nitakupm
Kama nimekusoma vizuri, basi SYSTEM haita fanya makosa ya kupora haki na matakwa ya wananchi maana amani itapotea na nchi itakuwa haitawaliki tena. Huu ni ujumbe muhimu sana kwa watawala wetu ili wajiandae vema kisaikolojia, ama wachukue maamuzi sahihi ya kukaa upande wa wananchi mapema.
watu wanapo iba serikalini na kusafirisha meno ya tembo na kusafirisha twiga nje ya nchi usalama wa taifa wanakuwa wapi?
Wananchi gani unaowasema mkuu,,, au hiyo oyaoya ndio inayokufanya uone wale ni wananchi wote wa tanzania??
Leta ushahidi.
Naona System imefanikiwa kutuvusha salama.
Asiyeamini na ajaribu kuichezea.
Mbwa wee