Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,762
- 26,051
Mkuu, tukubali ukweli kuwa system iliingiliwa kitambo sana miaka kama 20 hivi imepita.Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!
System hailali wala kusinzia!
UPDATES 1:
System au Kitengo imepata majaribu mapya na ya kipekee na imeyafanyia kazi kwa weledi.bado naendelea kuiita system ni ALPHA na OMEGA.
Tutulie ! #COVID 19
UPDATE 2:
SYSTEM ama KITENGO imepigwa kwa miaka miwili na inaendelea kupigwa sana lakini itakaa sawa.
KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!
#Heshimakwakitengo
Kurekebisha ilitakiwa utumike ueledi.
Bado humo wamo watu ambao si weledi na waaminifu, wamekula viapo lakini wamevikana.
Wazee wanachoka je wapo vijana makini na mahili, wa kushika hatamu?
Misingi ikisimamiwa basi kitengo kitajitambulisha chenyewe machoni mwa wananchi kwa mtindo mwingine.
Simaanishi kujitambulisha baa wewe ni nani kisha wapiga watu risasi.