Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,067
- 2,228
Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!
System hailali wala kusinzia!
System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !
Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!
Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!
Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!
Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.
Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.
UPDATES 1:
System au Kitengo imepata majaribu mapya na ya kipekee na imeyafanyia kazi kwa weledi.bado naendelea kuiita system ni ALPHA na OMEGA.
Tutulie ! #COVID 19
UPDATE 2:
SYSTEM ama KITENGO imepigwa kwa miaka miwili na inaendelea kupigwa sana lakini itakaa sawa.
UDATE 3:SEPTEMBA 2024
SYSTEM ipo kwenye jaribio jingine tena.Hebu tuendelee kushuhudia yanayojiri.
....Hatimaye System imeendeleza lile ililozoea kulifanya leo tena 23 septemba 2024.tusubiri tena ...other episode.
UPDATE 4:ni mwaka mwingine tena(Agosti 2025) na hususani katika mwezi huu wa 8 system inaendelea kupitia mfululizo wa changamoto lakini unaiona namna inavyojiweka salama....
Itaendelea.....
Mwaka huu tena leo mei 19 2025 System inapitia jaribio lengine hatarishi na muhimu.
KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!
#Heshimakwakitengo