Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,351
Ndio maana tunafail sehemu nyingine but ninaamini kunawatu wanapambana kubafilisha hiyo mzimu coz hivi vizazi hakuna anayejua hayo matambiko na yanazidi kuitesa nchi kuna haja ya kuyakataa kila mtu kwa dini yake.
Dini yetu ni matambiko, mizimu yetu ndiyo inatulinda, huko kwenye dini mnafanya sarakasi tu. Kwa taarifa yako Tanganyika ndio nchi salama kwenye UKANDA WA MAZIWA MAKUU, shukrani kwa matambiko unayoyananga.
Ndio maana swali la mwisho huwa, '...umeaga kwenu?'