Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Mkuu napenda sana ujadili hoja hii bila jazba wala kuwa skewed kwa upande wa kisiasa!

Labda niseme kifupi tu...System haina maslahi juu ya chama flani bali Taifa!ndio kazi yake na ndio hukumu yake!

System itaitete accm kwa sababu flani!

System itaikuza Nccr kwa sababu flani

System itaibomoa Nccr kwa sababu flani

System itaiporomosha ccm na kuikuza chadema kwa sababu flani.

System itaendelea na kazi yake kwa sababu flani.

malengo ya system ni yale yale tu kuilinda Tanzania.

Yaani system ni kama Mungu...ataleta mafuriko kwa masikini wa kilosa na kuleta tsunami asia na kuipa baraka vatican!

Mwisho wa siku SYSTEM hutuvusha na sifa huchukua watu flani flani hivi!

System lazima ipate lawama tu kwani ndio kazi yake lakini mwisho wa siku system lazima ibakie kuwa system !

Confusing but thats the way it should be!

system haiko kwa maslahi ya wananchi. ni kwa ajili ya matumbo yao.
ndio maana siku hizi hatamtoto mdogo anajua kuwa baba yake ni wa kitengo.
wamejaa wapuuzi ambao kazi yao ni kujisifu ili waonekane wa maana.
vitu vingapi vya uhujumu uchumi vinatokea na hiyo sisitimu ipo kimya?
ina maana kwao maslahi ya taifa ni ccm kubaki madarakani tu??
au ni kuhakikisha mambo yote yanakwenda sawa kwa watu wote?
tatizo wameshakuwa waoga kwamba watapoteza vibarua vyao wanavyofanya kwa upendeleo ndio maana uoga umewaingia.
safari hii watalipata joto la jiwe likoje. watachakachua kura na kuona haiwezekani mpaka kukubali kushindwa tu.
we unadhani nchi kama ghana, senegal, nigeria vyama tawala vilikubali hivi hivi?
inavika hatua hao sisitimu wanaona mziki uliopo umewazidi uwezo na kuhamia upande wa pili.
wanawaacheni nyie mkiendelea kulaumu na kuwatukana.
 
System kitu gani bhana. Uwezi kushindana na wananchi wakishachoka.
 
hii nchi kweli ya ajabu na ina watu wenye fikra za ajabu.
kwa hiyo kwenu nyie sisitimu kufanya kazi ni kulinda maslahi ya chama kimoja na mafisadi?
vyama vingine havichangii kodi ya kuendesha hivyo vitengo?

kwani akishinda mtu wa chama kingine imani itapotea au hawataweza kulinda hiyo amani?
ndio maana wananchi tunawachukia na ole wenu ccm tukishaitoa madarakani, mtarudi vijijini kulima viazi.

yaani badala ya kulinda amani ya nchi na mipaka yake wako busy kulinda wezi!!!
ndio maana nchi ina wahamiaji haramu wengi na wengine wamepewa vitambulisho vya kura na passport za tz.

Tatizo la kurecruit watu wenye IQ ndogo na kuwapa kazi nzito.
wanawaza matumbo yao tu

Post of the day!
 
Jackbauer

Mkuu ni kweli unavyosema kwamba system ipo kwa ajili ya kulinda maslai ya taifa na si chama tawala.

Lakini wewe upi hapo London na umeona jinsi system ilivyowaachia chama cha Labour kwa miaka kumi na unafahamu labour walichofanya?, jibu lake pekua pekua utafahamu.

Ila kwa kifupi chama cha Labour kimetumia miaka 10 ya utawala wake kuvuruga uchumi na ustawi wa jamii ya waingereza kwa ujumla, jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia ya nchi hiyo.

Sasa system ikakaa chini na kutafuta suluhisho na ndio ukaona chama cha wahafidhina au conservative wanaandaliwa kwa wingi wa nyenzo na vigezo kutoa hoja bungeni mpaka kwa wapiga kura, mwishowe umeona wananchi wakawachagua conservative.

Wanachofanya sasa conservative nchini humo kinaonekana na kinaeleweka.

System katika taifa inajengwa na watu wote wateule na inakuwa imara zaidi hasa pale hata waandishi wa habari wanahusishwa kupanua mawazo ya wapiga kura kupitia magazetiu, redio, televisheni na internet.

System ya Tanzania ina nyufa nyingi na zinahitaji kuzibwa, na yakifanyika hayo utaona hakuna wizi kwenye mabenki tena kwa kutumia silaha, askari polisi kuuliwa hovyohovyo kwenye vituo vyao vya polisi na hata kutoshughulika na kung'oa watu meno kwa makoleo.

Lakini cha msingi zaidi kwa sasa ni kwamba hiohio system unayoiaminia nayo inataka mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu napenda sana ujadili hoja hii bila jazba wala kuwa skewed kwa upande wa kisiasa!

Labda niseme kifupi tu...System haina maslahi juu ya chama flani bali Taifa!ndio kazi yake na ndio hukumu yake!

System itaitete accm kwa sababu flani!

System itaikuza Nccr kwa sababu flani

System itaibomoa Nccr kwa sababu flani

System itaiporomosha ccm na kuikuza chadema kwa sababu flani.

System itaendelea na kazi yake kwa sababu flani.

malengo ya system ni yale yale tu kuilinda Tanzania.

Yaani system ni kama Mungu...ataleta mafuriko kwa masikini wa kilosa na kuleta tsunami asia na kuipa baraka vatican!

Mwisho wa siku SYSTEM hutuvusha na sifa huchukua watu flani flani hivi!

System lazima ipate lawama tu kwani ndio kazi yake lakini mwisho wa siku system lazima ibakie kuwa system !

Confusing but thats the way it should be!

Miaka zaidi ya hamsini ya Uhuru, waweza kutujuza faida ya hiyo system kwa mtanzania??
 
Mkuu ni muda sijaona post yako hilo ndilo nilikuwa namaanisha hayo mengine ya system si mjuzi sana

Ila ambacho nataka kujua hiyo system ni nini katika lugha ya kawaida ma kazi zakeni ni zipi? ili sisi watu wa pale msoga barabara ya jakaya waelewe.
 
Mkuu ni kweli unavyosema kwamba system ipo kwa ajili ya kulinda maslai ya taifa na si chama tawala.

Lakini wewe upi hapo London na umeona jinsi system ilivyowaachia chama cha Labour kwa miaka kumi na unafahamu labour walichofanya?, jibu lake pekua pekua utafahamu.

Ila kwa kifupi chama cha Labour kimetumia miaka 10 ya utawala wake kuvuruga uchumi na ustawi wa jamii ya waingereza kwa ujumla, jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia ya nchi hiyo.

Sasa system ikakaa chini na kutafuta suluhisho na ndio ukaona chama cha wahafidhina au conservative wanaandaliwa kwa wingi wa nyenzo na vigezo kutoa hoja bungeni mpaka kwa wapiga kura, mwishowe umeona wananchi wakawachagua conservative.

Wanachofanya sasa conservative nchini humo kinaonekana na kinaeleweka.

System katika taifa inajengwa na watu wote wateule na inakuwa imara zaidi hasa pale hata waandishi wa habari wanahusishwa kupanua mawazo ya wapiga kura kupitia magazetiu, redio, televisheni na internet.

System ya Tanzania ina nyufa nyingi na zinahitaji kuzibwa, na yakifanyika hayo utaona hakuna wizi kwenye mabenki tena kwa kutumia silaha, askari polisi kuuliwa hovyohovyo kwenye vituo vyao vya polisi na hata kutoshughulika na kung'oa watu meno kwa makoleo.

Lakini cha msingi zaidi kwa sasa ni kwamba hiohio system unayoiaminia nayo inataka mabadiliko.
Kula tano kiongozi, hoja imeungwa mkono!
 
Hiyo system sio kitu kwa jeshi. Wazee wakiamua wanawakalisha hicho kitengo sijui nini wanapoteana. Sasa master spy apson yuko upande wa pili tuone sasa hiyo chess
 
najua wanajua dhamana yao kwa taifa hili na hawawezi eti kisa mtu kupoteza tunu ya taifa kwa matamanio ya mtu taifa kwanza mtu badae mungu ibariki tanzania
 
Jackbauer

System ya Libya wakati wa Ghaddaf ilikuwaje wakiwemo wale mabikira wake?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo system sio kitu kwa jeshi. Wazee wakiamua wanawakalisha hicho kitengo sijui nini wanapoteana. Sasa master spy apson yuko upande wa pili tuone sasa hiyo chess

apso mzee wa mtandao wape sumu mwakyembe na mwandosya, aliyafanya akiwa bado anakivuri cha dora sasa ni mweupe ajaribu tena aone,

Kuna system iliyokuwa imara kama ya KANU? Acha kutisha watanzania we 'Jackbauer' kwanza kwa kuongea hivyo hujalitendea haki hilo jina, kabisa kabisa!

unazijua siasa za kenya au unakopy tu ? ndo maana bila aibu mnaleta ugaidi wa osama zidi ya malekani ,mkijua mtu wenu ni gaidi la kutafuta ikulu na ndo maana lilimpa sumu mwandosya,mwaka huu mwisho,

Back
Top Bottom