AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Pumbavu kabisa mwaka huu yanewafika shingoni sasa mmeanza kujipa moyo, walah mwaka huu mtanyooka tu, usicheke na nguvu ya Ummma
Hao system ndio wanatoa watu kucha?
Pumbavu kabisa mwaka huu yanewafika shingoni sasa mmeanza kujipa moyo, walah mwaka huu mtanyooka tu, usicheke na nguvu ya Ummma
Sio kweli, apson ametoka kwenye system na mkapa, na haya yametokea juzi akiwa mstaafu anahusikaje? Acha kudandia mambo usiyoyajua utakuja dandia..apso mzee wa mtandao wape sumu mwakyembe na mwandosya, aliyafanya akiwa bado anakivuri cha dora sasa ni mweupe ajaribu tena aone,
Anamaanisha kitengo cha maadili au cha uenezi
Kama anamaanisha kitengo cha maadili ndani ya CCM hio pia si sawa kwani system ipo kwa ajili ya laslahi ya taifa.
Kama ni kitengo cha uenezi basi pia hipo si sawa kwani hapo anamzungumzia Nape Nnauye.
System inajengwa na wadau kutoka pande zote nna si usalama wa tafa pake yao.
Ila hii topic ni pana sana ukitaka kufahamu system zinajenngwa vipi,system ina majukumu si tu ya usalama wa viongozi lakini inaangalia usalama na maslahi ya taifa kwenye miundo mbinu, mifumo ya fedha, mifumo ya kodi na kila kitu.
Lakini niliposema system ina nyufa nimemaanisha kwamba imeshindwa kwenye masuala ya Richmond, Meremeta, EPA, Escrow na mambo mengine mengi tu.
Yaani nikikupa mfano barani Ulaya system yao pia inaangalia system ingine ya fedha barani humo na ikionekana kuna nchi kama Greece zinataka kuivuruga wanawasiliana na system ingine ya IMF ambayo ni baba lao kwenye masuala ya fedha.
System inahitaji repair.
System haihitaji repair mkuu...kwani haya ya EPA,Richmond na Escrow yalikuja vipi na kuondoka vipi na kurudi vipi na yataondoka vipi??
Ndio maana ninaamini itatuvusha!
Mkuu mimi naifahamu system yetu vizuri tu.
Mwaka 1995 kwenye kampeni ya uchaguzi wa uraisi, chama cha NCCR mageuzi ambacho ndicho kilikuwa chenye nguvu kubwa, kilikuwa na mzee Lyatonga, pembeni kulikuwa na Mabere Marando na pia kulikuwa na Masumbuko Lamwai, hawa wote waliunda NCCR wakitokea kwenye system.
Nafahamu system ilicheza michezo hii tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe, lakini sasa system imeamua kubadilika kuendana na wakati.
System itaenda na wakati lakini kamwe haitaachana na misingi yake.
System inaandaa na kamwe haiandaliwi mtu au kitu au tukio!
System itaenda na wakati lakini kamwe haitaachana na misingi yake.
System inaandaa na kamwe haiandaliwi mtu au kitu au tukio!
Mkuu, Labda nikuulize masuali mawili ya msingi.
Ni ipi misingi khasa ya system ye Tanzania nitajie japo michache tu ukiondoa jukumu la kulinda maslahi ya taifa na wananchi wake?
Nani ana jukumu la kuiunda system, kuiandaa na kuifanyia matengenezo.
Ukinijibu haya masuali basi ntafahamu wewe waijua system khasa.