Sikonge City
Member
- Jul 15, 2012
- 68
- 14
Neno Alpha and Omega ni (JINA)la Mungu..yaani Mungu Muumba wa mbingu na nchi..na halipaswi kutumiwa kwa namna yeyote zaidi yakusema Yeye ni ALPHA NA OMEGA=Mwanzo na Mwisho..hivyo kulitumia kwa style yako yakibinadam haikupasi w haipaswi.Mungu akuumbie moyo safi wakumjua yeye pasi kumchanganya..asante.
Frank usidanganye uma Alpha na Omega sio Jina la Mungu Alpha ni alphabet ya kwanza na Omega ni alphabet ya mwisho katika lugha ya Kiyunani (Greek)
A na O ni mwanzo na mwisho