Tsidikeu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 1,312
- 890
Neno Alpha and Omega ni (JINA)la Mungu..yaani Mungu Muumba wa mbingu na nchi..na halipaswi kutumiwa kwa namna yeyote zaidi yakusema Yeye ni ALPHA NA OMEGA=Mwanzo na Mwisho.
hivyo kulitumia kwa style yako yakibinadam haikupasi wala haipaswi.Mungu akuumbie moyo safi wakumjua yeye pasi kumchanganya..asante.
hivyo kulitumia kwa style yako yakibinadam haikupasi wala haipaswi.Mungu akuumbie moyo safi wakumjua yeye pasi kumchanganya..asante.