Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Siyo system hii ya kiCCM CCM wao wanajua kulinda CCM ikae madarakani kimagumashi lakini siyo kulinda interest za nchi

Unawapa sifa wasizokuwa nazo mkuu
Hiko chombo wanachoita system ni chama tawala tupu.

Hakuna sehemu ambapo kuna wendawazimu kuficha madhambi ya watawala kama iko kitengo na jeiwii, jeiwii sasa hv wanamiliki mpaka migodi.

Hovyo kabisa.
 
Uzi huu ni wa mwaka 2015 alafu jamaa kaitaja covid 19 alijuaje,au mi ndio sielewi?
 
Back
Top Bottom