UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,046
- 9,344
Wote tunaamini katika system, lakini ni system iliyopo kwa ajili ya kulinda maslahi ya taifa. Hapa kwetu system imekuwa ya kulinda maslahi ya chama kimoja, imekuwa kama kitengo cha chama. Ccm na kundi lake dogo la mafisadi wanaitumia system kulinda maslahi yao binafsi na wakati mwingine dhidi ya maslahi ya taifa. Hapo ndipo legitimacy ya system yetu inapokosa maana yake.
System yetu inachangamoto kubwa ya kujinasua kutoka kwenye makucha ya ccm, otherwise inakosa maana halisi ya uwepo wake.
System yetu inachangamoto kubwa ya kujinasua kutoka kwenye makucha ya ccm, otherwise inakosa maana halisi ya uwepo wake.