Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Kwa mara nyingine tena System imeshinda
 
Madhara yakuokota mtaani pasipo System kujiridhisha....! Je Kuna umuhimu gani kuleta habari hizi JF?.
 
hii nchi kweli ya ajabu na ina watu wenye fikra za ajabu.
kwa hiyo kwenu nyie sisitimu kufanya kazi ni kulinda maslahi ya chama kimoja na mafisadi?
vyama vingine havichangii kodi ya kuendesha hivyo vitengo?

kwani akishinda mtu wa chama kingine imani itapotea au hawataweza kulinda hiyo amani?
ndio maana wananchi tunawachukia na ole wenu ccm tukishaitoa madarakani, mtarudi vijijini kulima viazi.

yaani badala ya kulinda amani ya nchi na mipaka yake wako busy kulinda wezi!!!
ndio maana nchi ina wahamiaji haramu wengi na wengine wamepewa vitambulisho vya kura na passport za tz.

Tatizo la kurecruit watu wenye IQ ndogo na kuwapa kazi nzito.
wanawaza matumbo yao tu
Ipo kazi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Una hasira sana mkuu! Fanya mambo mengine hayo matamanio yako hayapo subiri kugongwa tena 2025
Kwa ufanisi wao wa kutumika kwa maslahi ya mtu na genge lake la madhalimu, basi usiseme mwaka 2025 bali sema mwaka 3000
 
Nimepotea kivipi?soma unielewe halafu nieleze nilipopotoka!usikurupuke na wala usiwe na jazba !

Je huamini System??
Wakifanikiwa kumpoteza asirudi hapo na mimi nitaiamini system maana Jamal alijisahau kuwa yeye ni mtumishi wa umma.
 
Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.

Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.

Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!


System hailali wala kusinzia!

System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !

Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!

Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!

Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!

Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.

Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.

UPDATES:
System au Kitengo imepata majaribu mapya na ya kipekee na imeyafanyia kazi kwa weledi.bado naendelea kuiita system ni ALPHA na OMEGA.
Tutulie ! #COVID 19

KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!

#Heshimakwakitengo
Kuna viumbe wawili tu hapa duniani ambao huwa hawalali wala kusinzia masaa 24, siku 366 kwa mwaka. Wa kwanza ni Mungu halafu wa pili ni huyo uliyemtaja hapa. Huyu wa pili ukitaka uendane naye vizuri, usijaribu kabisa kum-prmpt kumpa wewe kazi ya kufanya, hapana. Yeye kazi anazo tayari tena nyingi tu, na kama unataka uendane naye vizuri, basi kuwa katika nafasi ambayo utamvutia yeye akupe wewe kazi, na siyo wewe umpe kazi, hapana.
Na uhusiano wa uhakika kabisa uliopo kati ya viumbe hawa wawili, huyo wa kwanza ndiyo mzazi wa huyu wa pili, kwa hiyo wa pili huwa anaweza kuwepo tu kwa ridhaa ya yule wa kwanza. System huwa haipewi kazi na mtu isipokuwa mtu anaweza akatengeneza mazingira ambayo Sytem itavutiwa naye na kuamua kumpa kazi mtu huyo!
 
Mkija kushtuka oktoba 2025 hii hapa,!

Sie kazi yetu tunawategea kwenye kona tunawarabua mnarudi mbio mbio ublegiji
Halafu usifikiri kuwa huko Ubelgiji wamekaa kihasara hasara tu, hapana wapo kazini na kuna vitu wanafanya remotely kutokea huko huko halafu vinatokea huku. Kuwa mwangalifu sana katika hili acha mchezo
 
Back
Top Bottom