Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 768
- 1,803
Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji!
Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi!
Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana!
Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia.
Kauli ya waziri mkuu zote zimenyooka kabisa! HAKUSEMA AMEJIUZURU BALI KASEMA ANAPUMZIKA ANAWAACHIA VIJANA.
Alipokuwa akihitimisha hotuba yake bungeni ni kweli alitumia nafasi ile kuwashukuru wananchi wake na kutamani kuendelea kuwatumikia.
Lakini baada ya kutafakari kaona wapo vijana wengine wenye nguvu wanaweza kumpokea kijiti akaona siyo busara kwenda kuminyana nao kama mlezi!
Wakati wa mchakato wa fomu kaona vijana wengi wanania hiyo ya ubunge! Hivyo Kawapa nafasi zaidi! (HILI JAMBO LA KIUNGWANA KABISA)
Hajataka mambo kama ya mwenyekiti Mbowe kwenda kuminyana na vijana wanaotegemea busara zake.
Alichokifanya ni sawa na MBOWE alivyosema HATOGOMBEA lakini BAADAE Wanachama wakamuomba agombee akawasikiliza!
Waziri naye kaona atoe nafasi kwa jamii kushiriki ubunge.
Shida kubwa inayoonekana na wengi wanaohoji ni WAFUASI WA CHADEMA Washazoea kudumu kwenye kiti na aliyekuwa mwenyekiti mbowe!
CCM KUNA Hekima kubwa na kupeana nafasi tofauti na upinzani.
Sasa kwanini KUPUMZIKA KWAKE waziri Igeuke kuwa ni hoja badala ya PONGEZI?
Kila siku vijana mnataka mpewe nafasi.
waziri kaonesha njia halafu vijana walewale Mnahoji tena IMEKUAJE KUAJE!
Nyie si ndiyo mnataka wazee wawape nafasi halafu nyie tena mnahoji imekuaje kuaje!
Hivi kupumzika napo ni nongwa?
Kwenye kauli yake majibu yote yapo pale, hata ile swali la kwanini lipo pale JIBU! kawaachia kijiti na wengine!
Waandishi achenj kuficha habari za msingi na kuleta mijadala ambayo haina tija kwa wananchi hii ni sawa na ramli chonganishi!