mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,867
- 8,282
Kule China na nchi nyingine wamezungukwa na bahari na bado wanafuga samaki ambao huuzwa duniani kote, hii ni biashara acha uzuzu wewe mla vibua, tukifuga huku bara chondechonde msije anza kutaka mapato yatokanayo na ufugaji wa samaki tugawane sawa,kwa maana nyie hamkuwii kudai ''chenu chetu na chetu si chenu'' acheni uvivu fugeni hao samaki,samaki wa kufuga ni rahisi kuwa control na una kuwa na hakika nao tofauti na hao wa baharini au ziwani.Haitoi picha mbaya watu wamekula hela eti kuanzisha uvui wa sangara,sato na kambale ,watu mmezungukwa na bahari halafu unataka mabilioni upewe ili uanzishe ufugaji wa kambale,
Hivi mleta mada akili zenu ndio zilivyo ? sa nazidi kufaamu kwanini pale bungeni mnapiga makofi kwa kutumia meza kuyapongeza mazingahombwe kama haya.
Aafu mnataka tuendeleze muungano kwa akili hizi za kufuga kambale,na Zanzibar kiujumla hawali kambale wala sangala wala sato ,kiujumla kwa maana ukileta kipasenteji pengine wanaokula ni 0.0000001%.
Aafu Mmasai wa Zanzibar umwambie ale kambale.bora muungano ufe.