Niseme kuwa katika wagombea wa CCM angalau January katoa 'picha' atakuwa Rais wa namna gani akiweza kufika.....wengine wengi hatujui misimamo yao ya mambo mengi.
Sasa leo katika hotuba yake ya kutangaza nia January kazungumzia 'ufa wa kidini'na kwa mawazo yake akipewa Urais basi ataunda 'baraza maalum la viongozi wa dini'eti kazi yao iwe kukutana kila baada ya miezi miwili na kujadili namna 'ya kutunza amani'na kuondoa huo mgawanyiko wa kidini.
Binafsi naona likifanyika hilo ndio nchi itaingia kwenye mgawanyiko mkubwa zaidi wa kidini umoja wa watanzania, amani upendo na mshikamano haupo sababu ya viongozi wa kidini.
Watanzania wengi wamechanganya dini kwenye familia zao na wanashirikiana vizuri tu kuanzisha Taasisi zitakazo wapa sauti viongozi wa kidini ndio itakuwa 'platform' ya wao ku manipulate 'their influences' na ku gain more voice za kuwagawa wananchi.
Kinachohitajika ni kuwaacha na kuwa na serikali ambayo haiwapi sauti yoyote ile kwenye masuala ya kitaiifa.....'Dini ibaki kuwa ni jambo la mtu binafsi' na viongozi wa dini waondolewe kwenye 'National Affairs' completely.
Tuache kabisa kushirikisha shughuli za kidini na za viongozi wa kitaifa...Sherehe zote za kidini zibaki kuwa za kidini na viongozi wa kitaifa hasa wa serikali.
Wasihusike na wala wasiende kwenda kuhutubbia masuala ya kitaifa ndani ya misikiti na makanisa.
Kama tuko serious na kutenganisha dini na siasa....basi tusiruhusu hizi idea za January kupewa nafasi.
Mawazo ya January kwa juu yanaonekana mazuri sana lakini kiukweli ni mawazo hatari sana sababu yatazidi kuwapa nguvu isiyo ya lazima viongozi wa kidini.
Watu kama Gwajima watajikuta wanapewa 'umuhimu wa kitaifa' usio na lazima kwa kupitia vyombo kama hivyo ambavyo January anataka kushawishi viwepo.
Dini ibaki kuwa ni jambo la mtu binafsi na viongozi wa dini waachwe huko huko kwenye mimbari za dini zao.

Unajua mnachekesha sana kuwasoma wakati mwingine. Nirahisi sana kumuona January Makamba amekosea kusema hivyo wakati kila mkutano niliwahi kuhudhuria wa vyama au sherehe za Kitanzania lazima muanze na Asalaam Aleikum - Asifiwe bwana Yesu Kristo, sasa kama mliona kuna makosa ya matumizi ya dini kwa nini hamkuanza na salaam zenu wenyewe mkaweka maneno jingine badala yake?.The Boss
Dini ibaki kuwa ni jambo la mtu binafsi na viongozi wa dini waachwe huko huko kwenye mimbari za dini zao
January seems to lack appreciation of the time tested concept of "Separation of Church and State" and the need to maintain a secular state.
I suspect though, this proposal of his, is just a ploy to appease and appeal for the support of all faiths and religions, in his quest for the highest office in the country. Based on what I have seen so-far (e.g the cyber crimes Act that he championed) January is not the kinda person who will seek anybody's input on how to maintain peace in the country.If he becomes President, I bet he won't give a rat's ass about what any religious leader has to say, with regard to maintaining peace in the country. He will do as he sees fit, regardless of the consequences.
This January fellow is one to be wary of, as he clearly habors dictatorial tendencies (again this can be inferred from the cybercrimes ACT he championed). He comes across as a Mr know it all. If he becomes President, he will probably suppress a lot of our civl liberties, and if we complain, he will simply tell us he knows what is best for us, so we should just put up or shut up. January appears to be so full of himself!! He strikes me as a very corky fellow, hot headed and immature. Both not qualities befitting a head of state. In my considered judgement, January is not yet presidential material. Maybe in 10 years time, he might by then be mature enough to run a country.
i support at least one of his proposals though:- empowering the PCCB to institute charges before any court in the country, without having to go thru the DPP. This is long overdue!
Mifano ya Israel na ISIS ni mifano ambayo waumini wa dini hizo walipuuzwa na serikali hivyo kuanzisha makundi yanayopingana na serikali. Wewe nambie dunia hii ya leo kuna nchi gani isoweka mawasiliano na viongozi wa dini? Na mahala popote kulipotokea matatizo yoyote ya kidini ni kutokana na serikali kuchukua upande mmoja maana kumbuka serikali inaongozwa na watu wenye nimani zao na huwezi kumtenganisha kiongozi na dini yake hata mseme nini.Mkuu maelezo ya The Boss ni sahihi kabisa.
Mambo ya dini yanatakiwa yasipewe nafasi katika serikali kama alivyoeleza kwa kirefu mtoa uzi huu. Nashangaa kuona wengi tunashindwa kujifunza kwa yanayotokea kwingine. Mifano yako ya Israel na ISIS inatosha kutuonyesha madhara ya kutukuza dini katika siasa.
Tatizo kuu la dini ni watu kusukumwa na imani bila Logic, na hapa ni dini zote (Mifano ni watendayo wakristo kwa waisalam huko Afrika ya Kati, ISIS watendayo kwa wakristo huko mashariki ya kati na Budha watendayo kwa waislam huko Maynmar).
Hata waislam watapata pa kusemea...matamko elekezi wenzao ndo hutoa na kufuatwa...na hii itasaidia sana waislm waswenkwe lupango... anyway basi tu
Niseme kuwa katika wagombea wa CCM angalau January katoa 'picha' atakuwa Rais wa namna gani akiweza kufika.....wengine wengi hatujui misimamo yao ya mambo mengi.
Sasa leo katika hotuba yake ya kutangaza nia January kazungumzia 'ufa wa kidini'na kwa mawazo yake akipewa Urais basi ataunda 'baraza maalum la viongozi wa dini'eti kazi yao iwe kukutana kila baada ya miezi miwili na kujadili namna 'ya kutunza amani'na kuondoa huo mgawanyiko wa kidini.
Binafsi naona likifanyika hilo ndio nchi itaingia kwenye mgawanyiko mkubwa zaidi wa kidini umoja wa watanzania, amani upendo na mshikamano haupo sababu ya viongozi wa kidini.
Watanzania wengi wamechanganya dini kwenye familia zao na wanashirikiana vizuri tu kuanzisha Taasisi zitakazo wapa sauti viongozi wa kidini ndio itakuwa 'platform' ya wao ku manipulate 'their influences' na ku gain more voice za kuwagawa wananchi.
Kinachohitajika ni kuwaacha na kuwa na serikali ambayo haiwapi sauti yoyote ile kwenye masuala ya kitaiifa.....'Dini ibaki kuwa ni jambo la mtu binafsi' na viongozi wa dini waondolewe kwenye 'National Affairs' completely.
Tuache kabisa kushirikisha shughuli za kidini na za viongozi wa kitaifa...Sherehe zote za kidini zibaki kuwa za kidini na viongozi wa kitaifa hasa wa serikali.
Wasihusike na wala wasiende kwenda kuhutubbia masuala ya kitaifa ndani ya misikiti na makanisa.
Kama tuko serious na kutenganisha dini na siasa....basi tusiruhusu hizi idea za January kupewa nafasi.
Mawazo ya January kwa juu yanaonekana mazuri sana lakini kiukweli ni mawazo hatari sana sababu yatazidi kuwapa nguvu isiyo ya lazima viongozi wa kidini.
Watu kama Gwajima watajikuta wanapewa 'umuhimu wa kitaifa' usio na lazima kwa kupitia vyombo kama hivyo ambavyo January anataka kushawishi viwepo.
Dini ibaki kuwa ni jambo la mtu binafsi na viongozi wa dini waachwe huko huko kwenye mimbari za dini zao.
hamna lolote ! sifa za uzushi tu , kichwa gani kimeshindwa hata kugundua mashine ya kubangua madafu , siasa za ccm ni ujanjaujanja tu .Lakini mbona huwa tunaambiwa jamaa ni kichwa sana.
Sasa kama ni kichwa kwa nini mtihani wa fom foo akwapue:becky:?
Umeshaambiwa hata mtihani wa fomu foo alikwapua pepa.
Rais gani hajui hata katiba yake inasemaje kuhusu dini.
Laiti Nyerere (R.I.P Mwalimu) angekuwepo akaona uozo unaoendelea.
Mkuu kuna mengine tunayachukua kama yalivyo maana ukiingia kwa undani zaidi ya imani za dini utagundua kwamba Yesu hakuwa Mkatoliki wala Mrutheri na hata Muhammad hakuwa Sunni wala Shia bali mcha Mungu, haya madhehebu ya dini tumeanzisha wenyewe na hatari yake ni kubwa toka kuanzishwa kwake hivyo bora kuwepo mawasiliano mazuri baina ya vyombo hivi na serikali kama mshauri. Tunachopinga ni serikali kushirikiana na imani hizi ila huwezi kataza mtu na imani yake utakuwa unaondoa uhuru na haki yake.Kwa kweli inanishangaza kuona viongozi wa serikali wakiapishwa na vitabu vitakatifu vya dini bilakuwa na kipimo cha imani ya mhusika kuhusu vitabu hivyo. Hii ni kulazimisha ndoa ya dini na siasa bila maridhiano. Ingefaa kuapa kwa kutumia katiba. Jambo jingine dini niuhusiano wa mtu na Mungu. Kwa nini dini iruhusiwe kuwa chanzo cha chuki na mifarakano hadi kufikiriwa kuundiwa chombo cha kushughulikia mahusiano ya Mungu na watu?