Kila mtumiaji wa masafa kwa mfano waongoza ndege,radio call za polisi au taasisi mbalimbali,Radio za FM,MUX kama vile Star Times,Telecoms kv VODA TIGO nk wote hawa hupatiwa leseni na kugawiwa hayo masafa na TCRA...Masafa ni kama kitalu cha mboga ambapo watu hugawana kwa hiyo mwenye wajibu wa kugawa ni TCRA...hivyo yeye kama TCRA anafahamu kila safa na ana uwezo wa kungámua nani ni mwizi wa masafa kwa kutumia hilo dude...lenyewe likipita pahala lina scan na kubaini masafa yaliyopo...ndio maana unasikia kuna watu wamepandishwa kizimbani kwa kuingiza nchini vifaa vya masafa visivyotakiwa wananaswa na TCRA...hivyo hilo dude linaleta ndani mrejesho. Pia linaweza kubaini ubora wa huduma za mawasiliano.
Wao watajua tu kwamba hii haijasajiliwa kwa sababu wao ndio watoa leseni kwa mujibu wa sheria za EPOCA. zisome hapa https://www.researchictafrica.net/c...c_and_Postal_Communications_Act_no_3_2010.pdf

Kusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona hadi kwenye mambo ya Law umoooo, karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la mapishi na MMu ndio sijaona ufundi wako
Wakikudaka wanazima na ku cease mitambo yako...juzi nilikuwa boko kuna jamaa walimdaka alikuwa na karedio poriSorry mkuu usinichoke, kwa hiyo kupitia hilo gari, wakijua mtumiaj haramu wanazima Yale mawasiliano yake au wana mkamata kwanza kama ushahidi wa kizimban?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ni kwa ajili ya kikao cha MABAHARIA kesho maeneo ya Kivukoni.
Unakaribishwa
Kidumu chama cha Mabaharia
Sijawahi kujjua ni kitu ganHiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.
Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.
Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371
Vehicle mounted satellite antenna. Ni kwa ajili ya kurushia matangazo/ mawasiliano kwa njia ya satellite. Inaweza kuwa simu, TV au radio.Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.
Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.
Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371
Sheria iko wazi kitendo cha kutumia au kuingilia mawasiliano ni jinai...na wao TCRA kwa kushirikiana na vyombo vya dola wanakuweka ndani kama utakutwa ukitumia masafa bila wao kukupatia/gawia...zingatia pia kwamba hayo masafa hugawiwa kimataifa ndio maana hao TCRA wana uanachama kwa niaba ya Tanzania kwenye taasisi mbalimbali za kimataifa za mawasiliano kama vile ITU https://www.itu.int/en/Pages/default.aspx, EACO, CRASA nk...kwa hiyo masafa hutumii tu ilimradi...ni lazima TCRA wakupe.....ndio maana unasikia sehemu fulani masafa ya redio FM yamejaa kwa mfano hii ni kutokana na uwezo wa mitambo kama huo ambayo inajua sasa hapa huwezi kuongeza njia nyingine ya safa laa sivyo utasababisha matatizo ikiwemo interference nk
Wakikudaka wanazima na ku cease mitambo yako...juzi nilikuwa boko kuna jamaa walimdaka alikuwa na karedio pori
Lazima upate kichefuchefu maana wewe sio Baharia na mimba bado changaHilo neno ubaharia Lina nipa kichefuchefu sanaaa
Jammer hiyoKwenye msafara ya marais ,makamu au waziri mkuu huwa na mm nalionaga ...
Wadau huwa wanasema waandishi wa habari labda kinasa mawingi watu wa telecom waje
Baharia si uombe msamaha urudishwe kundini ..kutuchukuia mabaharia sio fresh ....Mi naona wewe unalipenda
Mm nalichukia kupita kiasi yani wabongo wakishikilia neno wanakua kama nyumbu
Pasikali mbona mwepesi tu we subiri wiki ijayo anaenda kuomba msamaha kwa niaba ya walima koroshoPascal Mayalla mie huwa namuona ndie member wa JF pekee mwenye akili nyingi na ana uwezo wa kutambua pia anajua mambo mengi sana ya duniani. Sijaona mwingine hata!!!
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️