• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
2,305
Points
2,000
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
2,305 2,000
Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.

Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.

Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuu
2160156_IMG_20190911_132313_3.jpeg
2160157_IMG_20190911_132306_7.jpeg
 
C

Carica_papaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Messages
450
Points
500
C

Carica_papaya

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2018
450 500
Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.

Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.

Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuu View attachment 1204370 View attachment 1204371
Ni kwa ajili ya kikao cha MABAHARIA kesho maeneo ya Kivukoni.
Unakaribishwa
 
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
2,305
Points
2,000
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
2,305 2,000
Hahaha shughuli za waislam tu, wakrsto hawana au unamaanisha ni ni kwa waislam tu.
Hayo ni majungu ya kupika pilau, nayaonaga kwenye shughuli za kiislam kama vile hitma, maulid n.k
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
6,217
Points
2,000
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
6,217 2,000
Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.
Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.
Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuu View attachment 1204370 View attachment 1204371
Ooh mungu wangu!! Bahati yako siku nyingine ukiliona kimbia sana tena ufumbe macho.
Wasiliana na TCRA.
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
18,806
Points
2,000
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
18,806 2,000
Umeshawahi kuona kipindi cha 'Tornado hunters'? Hao ni wana hali ya hewa, yaani 'meteorologists'.
2160185_photo.jpg
 
Robot la Matope

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
4,968
Points
2,000
Robot la Matope

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
4,968 2,000
Pascal Mayalla mie huwa namuona ndie member wa JF pekee mwenye akili nyingi na ana uwezo wa kutambua pia anajua mambo mengi sana ya duniani. Sijaona mwingine hata!!!
We unazingumzia JF ya zamani kabla Pasco hajaitwa NJAA
 
Forum statistics

Threads 1,405,411
Members 531,983
Posts 34,485,419
Top