Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
2,028
Points
2,000
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
2,028 2,000
Na wanajuaje kuwa hii radio imesajiliwa au bado maana kwa tz nzima sio mchezo? Asante sana mkuu, kwa hiyo yapo kila sehemu au?
Umefanya vizuri kuuliza. Hilo dungu hapo juu ni Antenna kwa ajili ya kufuatilia masafa( Spectrum monitoring)...kazi yake ni kukagua muingiliano wa masafa ya simu,mawimbi ya utangazaji,radio call nakadhalika….hilo pia hukagua mawimbi haramu ambayo watu wanajipatia...elewa kwamba masafa ili uyatumie lazima TCRA wakupatie kwa hiyo hilo dungu linakagua kubaini wezi wa masafa na hata wezi wa simu wanaweza kupatikana kwa hilohilo dude...Linaitwa mobile Spectrum monitoring antenna. Je una swali la ziada?
 
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
4,429
Points
2,000
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
4,429 2,000
Na wanajuaje kuwa hii radio imesajiliwa au bado maana kwa tz nzima sio mchezo? Asante sana mkuu, kwa hiyo yapo kila sehemu au?
Kila mtumiaji wa masafa kwa mfano waongoza ndege,radio call za polisi au taasisi mbalimbali,Radio za FM,MUX kama vile Star Times,Telecoms kv VODA TIGO nk wote hawa hupatiwa leseni na kugawiwa hayo masafa na TCRA...Masafa ni kama kitalu cha mboga ambapo watu hugawana kwa hiyo mwenye wajibu wa kugawa ni TCRA...hivyo yeye kama TCRA anafahamu kila safa na ana uwezo wa kungámua nani ni mwizi wa masafa kwa kutumia hilo dude...lenyewe likipita pahala lina scan na kubaini masafa yaliyopo...ndio maana unasikia kuna watu wamepandishwa kizimbani kwa kuingiza nchini vifaa vya masafa visivyotakiwa wananaswa na TCRA...hivyo hilo dude linaleta ndani mrejesho. Pia linaweza kubaini ubora wa huduma za mawasiliano.

Wao watajua tu kwamba hii haijasajiliwa kwa sababu wao ndio watoa leseni kwa mujibu wa sheria za EPOCA. zisome hapa https://www.researchictafrica.net/countries/tanzania/Electronic_and_Postal_Communications_Act_no_3_2010.pdf
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
16,677
Points
2,000
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
16,677 2,000
Hapana aisee hao sio TMA
Akitokea mwingine akasema ni gari la kurushia matangazo, utatumia kigezo gani ku-demerit maoni yake na ku-merit ya kwako? Tumejibu hiyo picha objectively, bila kuwa subjected na prior assumptions ulizokuwa nazo, au unless wewe unalijua hilo gari personally.
 
Kirikou Wa Kwanza

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Messages
3,525
Points
2,000
Kirikou Wa Kwanza

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined May 24, 2013
3,525 2,000
Mi naona wewe unalipenda
Mm nalichukia kupita kiasi yani wabongo wakishikilia neno wanakua kama nyumbu
Ukitaka ugomvi na mimi niite hilo jina. Yani hata kama tulikuwa tunaheshimiana nitakuona mtu wa hovyo.
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,962
Points
2,000
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,962 2,000
asanteni kwa elimuu, mi nilijua ni wamianii
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,191
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,191 2,000
Hiyo siyo kwa ajili ya kutafuata habari, hapana...

Hilo gari ni maalum kwa ajili ya kuzuia na kukata mawasiliano kwa watumiaje...

Mara nyingi linaambatana kwenye msafara wa Rais au viongozi wakubwa...


Cc: mahondaw
 
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
4,429
Points
2,000
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
4,429 2,000
Nalijua personally...nilipata fursa ya kuuliza maswali kwenye maonyesho ya nanenane miaka saba iliyopita...binafsi nachukia mtu anaependa kutoa jibu kwa swali ambalo hana majibu ya uhakika...JF tuna tatizo hilo sana. Ni vema jambo kama huna taarifa nalo ukakaa kimya...binafsi nimetoa jibu na Pasco amekazia kwa kuweka link kabisa...sasa huyo anaempotosha mleta swali hamtendei haki.
Akitokea mwingine akasema ni gari la kurushia matangazo, utatumia kigezo gani ku-demerit maoni yake na ku-merit ya kwako? Tumejibu hiyo picha objectively, bila kuwa subjected na prior assumptions ulizokuwa nazo, au unless wewe unalijua hilo gari personally.
 

Forum statistics

Threads 1,336,422
Members 512,614
Posts 32,538,950
Top