JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Mwishoni wataitwa bibi tu, hakuna atakayeitwa babu hapo.... mbio za sakafuni
Pole cute, sikulaumu wewe namlaumu aliyeanza nawe.Usiwaambie wazazi utawaumiza ....why do you want to put a specific label on me cause nimetamka where i stand or
No one is to blame na siwezi kuwaambia thou im certain kuna kitu wanahisi cause parents know us betterPole cute,sikulaumu wewe namlaumu aliyeanza nawe.Usiwaambie wazazi utawaumiza ....
Hv hawa wakijichanganya na mashoga ni nini kitaendelea kati yao......!!?
Mr mende na koti lakeOya umeshaanza biashara za umende
Tom boy....Mbona kama ni wadada hao mkuu?
Unakasirika kwa sababu unawapa hiyo attention. Ungekuwa unawapuuza hata usingeyaona hayo mashauzi yaoHao watu mimi wala sina matatizo nao, maisha yao kwa mpango wao. Tatizo hapa linakuja kwa gay men, wanapenda attention kuliko kawaida. Wasumbufu sana, wakiona wanaume wanajigeuzageuza mpaka kero. Wanafikiri wanaume wote tunapenda wasenge. That's not cool. Gay or not, mind your business, usiwaletee usenge wako watu wengine.
Tusipuuze aisee tungemsikiliza badala ya kumtuhumu pengine angesaidia wengi na sisi tungepata kuelewa vizuri kuhusu hizi haliHuu uzi kuna jamaa anajiita Confession ana jambo muhimu ila tumembeza na kumpuuzia.
Nafikiri tukiitaji kujifunza namna yakukabiliana na hili tatizo tumpatie nafasi awe huru kutiririka hata hapa hapa, itatusaidia sana.
Ninavyojua mimi hizi tabua zinaweza kusababushwa na mambo matatu;
-Malezi
-Tabia Mwili
-Ukatili
Hivi vitu vitatu vinanafasi kubwa sana kwenye kusababisha ushoga na usagaji
Yawezekana kipindi unakuwa umekaa sana na Mama au umeishi sana na jinsia ya Kike,au kuna watu walikuhamasisha style hiyo yamaisha?No one is to blame na siwezi kuwaambia thou im certain kuna kitu wanahisi cause parents know us better
Mbele kule kwenye lugha yao Gay inasimama kwa wote.Hivi wa kike anakuwaje gay na nyie mbona mnauliza maswalI ya kinanihii
MADEMU KAMA NAWATAFUTA SANAKama Una Binti Yako Na Hawa Ndio Wakawa Marafiki Zake Basi Jua Kabisa Hauna Binti, Kwisha Habari Yake... Team LGBTView attachment 1763881
Facts ni kwamba ni rahisi kwa shoga kuacha kuliko MsagajiHakika
Mwanaume akienda kaenda
Mwanamke unaeza mrudisha
yes yuko pale mtaa wa kongo maduka ya chini.Kuna yule mmoja famous sana insta ana dreads jina nimesahau anauza nguo,viatu,raba suruali jeans za kiume hasa sasa kafungua duka k/koo.
what.....?sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Nami nilishakula mmoja wao daa!! Sirudii tena. Utadhani uko Na mwanaume mwenzio kwa roomYaan hata ukimla unaishia kujilaum...nmewah lala na Dem akavuta feg kabla ya kumla aisee ...hata skuperfom njia panda
Wasichana wa dot com hawashiki mimba ovyo, wanatumia madawa ya kuzuia kupata mimba,na wanapewa elimu kabisa jinsi yakutumia dawa za kuzuia mimba.Duh dawa yao kuwapa mimba tu