Kuna shida kubwa ya akina mama na mabinti kupenda kula chipsi mayai

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,679
3,328
Uchunguzi wangu huru umeonesha akinamama na mabinti walio wengi wamekuwa wapenzi wakuu wa kula viazi vya kukaanga vinavyochanganywa na mayai maarufu kwa jina la chips mayai.

Ukitaka kuhakikisha hili wewe ingia sehemu yoyote ya kula na uchungulie mezani vilivyoagizwa, utaona asilimia kubwa ya akinamama na mabinti ni chips mayai na wengine wanaongezea nyama choma au mishikaki na wengi wao unakuta hawapendi mboga za majani.

Lililo wazi ni kwamba watu hawa hawali chakula bora. Na kama hata huko majumbani kwao wanakula hivi basi kama taifa tuna janga kubwa kwa kizazi cha huko mbeleni maana hawa ndo mamazetu wa sasa au baadaye.

Sasa kwa ulaji huo tutakuwa na kizazi cha namna gani hapo baadae. Wizara ya Afya Tanzania angalieni jambo hili kabla hali haijawa mbaya.
 
Unaijua chips kavu lakini? Yenye ukwaju, kapilipili, kitimoto, mishikaki, salad? Ni moto wa kuotea mbali.

Chips live long mwaya 🤣🤣
Viazi visikosekane shambani
Mafuta yasikosekane dukani
IMG_1577.jpeg
 
Uchunguzi wangu huru umeonesha akinamama na mabinti walio wengi wamekuwa wapenzi wakuu wa kula viazi vya kukaanga vinavyochanganywa na mayai maarufu kwa jina la chips mayai.

Ukitaka kuhakikisha hili wewe ingia sehemu yoyote ya kula na uchungulie mezani vilivyoagizwa, utaona asilimia kubwa ya akinamama na mabinti ni chips mayai na wengine wanaongezea nyama choma au mishikaki na wengi wao unakuta hawapendi mboga za majani.

Lililo wazi ni kwamba watu hawa hawali chakula bora. Na kama hata huko majumbani kwao wanakula hivi basi kama taifa tuna janga kubwa kwa kizazi cha huko mbeleni maana hawa ndo mamazetu wa sasa au baadaye.

Sasa kwa ulaji huo tutakuwa na kizazi cha namna gani hapo baadae. Wizara ya Afya Tanzania angalieni jambo hili kabla hali haijawa mbaya.
Serikali serikali nyoo 🤧🤧 Jiongoze
 
Chips na mayai ni combination nzuri zaidi kuliko atakayekula ugali na maharage.

Ndio..

Viazi ni wanga na ni easy kuwa digestible kuliko ugali wako mgumu.

Mayai hasa ya kienyeji yanavirutubisho vingi.. pia umegusia kuwa hawali mboga za majani.

Tunarudi jikoni, chips yai kuna ubunifu wa kutiwa carrots na hoho ambazo hazikwivi sana. Pia Kachumbari inayofata huwa ina mchanganyiko wa carrots, tango, vitunguu bila kusahau vikorombwezo vingine kama Mayonnaise, ukwaju, Tomato etc..

Nachelea kusema wanapata chakula Bora sana.. tatizo ni UBORA wa maandalizi ya upishi, na materials hasa MAFUTA.
 
Mleta mada naona wachangiaji wengi wameshindwa kukuelewa au ndio muendelezo wa kubeza kila kitu,

Junk food sio nzuri kiafya,zinasababisha Type 2 diabetes,heart related problems kama vile high blood pressure,Cholesterol,overweight,Obesity na mengineyo,

Mleta mada anashauri Serikali itoe elimu ya Afya kwenye ulaji wa vyakula coz at the end litakua ni janga la taifa kwa kukosa nguvu kazi na kuelemewa na watu wengi wenye matatizo ya kiafya,tuache tabia ya kubeza kila kitu hata vitu muhimu vinavyohusu afya yako.
 
Ngumu sana serkali kuingilia, ni kama pombe na sigara, vimeshakua mfumo wa maisha

Ila tutegemee matatizo ya kiafya kwa ke wengi, sio chipsi tu, hata kutembea hawapendi, kila mahali boda boda

halafu yakinenepa yanasema ni miili ya kiafrika

pumbavu
 
Elimu inatolewa kwenye Tv kuna makala za afya kila siku. Dr janabi nae anasaidia...
Serikali ishindwe kupiga marufuku utengenezaji na uvutaji wa sigara ambao madhara yake yapo wazi wajikite kwenye chips mayai kweli?
 
Uchunguzi wangu huru umeonesha akinamama na mabinti walio wengi wamekuwa wapenzi wakuu wa kula viazi vya kukaanga vinavyochanganywa na mayai maarufu kwa jina la chips mayai.

Ukitaka kuhakikisha hili wewe ingia sehemu yoyote ya kula na uchungulie mezani vilivyoagizwa, utaona asilimia kubwa ya akinamama na mabinti ni chips mayai na wengine wanaongezea nyama choma au mishikaki na wengi wao unakuta hawapendi mboga za majani.

Lililo wazi ni kwamba watu hawa hawali chakula bora. Na kama hata huko majumbani kwao wanakula hivi basi kama taifa tuna janga kubwa kwa kizazi cha huko mbeleni maana hawa ndo mamazetu wa sasa au baadaye.

Sasa kwa ulaji huo tutakuwa na kizazi cha namna gani hapo baadae. Wizara ya Afya Tanzania angalieni jambo hili kabla hali haijawa mbaya.
asante kuwakumbusha hao rafiki wa nyoka. sidhani kama watakuelewa. ni wabishi balaa
 
Ngumu sana serkali kuingilia, ni kama pombe na sigara, vimeshakua mfumo wa maisha

Ila tutegemee matatizo ya kiafya kwa ke wengi, sio chipsi tu, hata kutembea hawapendi, kila mahali boda boda

halafu yakinenepa yanasema ni miili ya kiafrika

pumbavu
Mbona hata nyie wanaume mnakula chips mayai kwa wingi? Au mnadhani huwa hatuwaoni?
 
Back
Top Bottom