Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 10,125
- 19,715
Unasema nini we mjingasometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Unasema nini we mjingasometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Tatizo linakuja wewe Kama mzazi unampa maadili mazuri,lakini rafiki yake mwanao ndiyo wanampotosha na kufuata ,miongozo ya marafikiKuna usemi unasema "hakuna bingwa wa malezi". Mkuu, Mtoto akiamua kushindikana anashindikana tu hata kama mzazi amemlea vizuri kiasi gani. Wazazi tuna mtihani sana, Ni kuomba Mungu tu.
Oya toboa t shirt mwananguUkimbandua huwa hakuiti baby au my.Ye anakuitaga boy wangu.Utashangaa anakutumia msg oyaaa boy sina pedi.
"Gay"means ni mtu homosexual iwe kwa mwanaume au mwanamkeHivi wa kike anakuwaje gay na nyie mbona mnauliza maswalI ya kinanihii
Naam! Yule bint anaeuza pale Daah wamekuwa kama mtu na mkeweyes yuko pale mtaa wa kongo maduka ya chini.
Duuuhsometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Sana brother.Heart breaking in deedInanyong'onyeza na kusikitisha sana ukiona binti yako yuko hivi, unaweza kujilaani.
Kubaa 😳😳...sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Masuala ya malezi tusiringanishe na suala la kwenda mbinguni mkuu, tuwajadili Tu hawa wadada Ile kibinadamu Tu , Ila ukitaka ulinganishe malezi ya watoto na suala la kwenda mbinguni mbna unapiga OP moja makini Sana ..... Mbinguni hata wakuu wa dini hawatoboi , kama ulivyosema most of them tutakuwa nao sehemu moja , sa hv hatujuani matendo Ila daaah watu ni waovu kupita maelezoIla daa pamoja na dhambi Za hawa ndugu zetu lakini wale walioandika vitabu wakasema Wasagaji. Mashoga. Wasengenyaji. Wala rushwa. Wachataka papuchi. Wanaokula kimasihara. Wachawi. Walevi. Wavuta ngada. Wachonganishi wote tutuwa sehemu moja Huku Duniani tunawanyanyapaa kule mbele tutakuwa wote sawa tu. Tunapiga story na mzee wa mapembe
Sio kweliMbele kule kwenye lugha yao Gay inasimama kwa wote.
Haswaaaa...Ila daa pamoja na dhambi Za hawa ndugu zetu lakini wale walioandika vitabu wakasema Wasagaji. Mashoga. Wasengenyaji. Wala rushwa. Wachataka papuchi. Wanaokula kimasihara. Wachawi. Walevi. Wavuta ngada. Wachonganishi wote tutuwa sehemu moja Huku Duniani tunawanyanyapaa kule mbele tutakuwa wote sawa tu. Tunapiga story na mzee wa mapembe
Noma sabaNami nilishakula mmoja wao daa!! Sirudii tena. Utadhani uko Na mwanaume mwenzio kwa room