Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Huu uzi kuna jamaa anajiita Confession ana jambo muhimu ila tumembeza na kumpuuzia.

Nafikiri tukiitaji kujifunza namna yakukabiliana na hili tatizo tumpatie nafasi awe huru kutiririka hata hapa hapa, itatusaidia sana.

Ninavyojua mimi hizi tabua zinaweza kusababushwa na mambo matatu;

-Malezi
-Tabia Mwili
-Ukatili

Hivi vitu vitatu vinanafasi kubwa sana kwenye kusababisha ushoga na usagaji
 
Hv hawa wakijichanganya na mashoga ni nini kitaendelea kati yao......!!?

Wanafanya kitu kinaitwa bata tredi, huyu analeta watoto pisi na yule anapeleka wakaka hendisamu. Maisha yanaendelea.

Wataalamu wa mambo wanasema ukitaka kula watoto warembo bure mjini hapa kuwa na urafiki na mashoga. Hawa viumbe wana connection za hatari.
 
Hao watu mimi wala sina matatizo nao, maisha yao kwa mpango wao. Tatizo hapa linakuja kwa gay men, wanapenda attention kuliko kawaida. Wasumbufu sana, wakiona wanaume wanajigeuzageuza mpaka kero. Wanafikiri wanaume wote tunapenda wasenge. That's not cool. Gay or not, mind your business, usiwaletee usenge wako watu wengine.
Unakasirika kwa sababu unawapa hiyo attention. Ungekuwa unawapuuza hata usingeyaona hayo mashauzi yao
 
Huu uzi kuna jamaa anajiita Confession ana jambo muhimu ila tumembeza na kumpuuzia.

Nafikiri tukiitaji kujifunza namna yakukabiliana na hili tatizo tumpatie nafasi awe huru kutiririka hata hapa hapa, itatusaidia sana.

Ninavyojua mimi hizi tabua zinaweza kusababushwa na mambo matatu;

-Malezi
-Tabia Mwili
-Ukatili

Hivi vitu vitatu vinanafasi kubwa sana kwenye kusababisha ushoga na usagaji
Tusipuuze aisee tungemsikiliza badala ya kumtuhumu pengine angesaidia wengi na sisi tungepata kuelewa vizuri kuhusu hizi hali
 
No one is to blame na siwezi kuwaambia thou im certain kuna kitu wanahisi cause parents know us better
Yawezekana kipindi unakuwa umekaa sana na Mama au umeishi sana na jinsia ya Kike,au kuna watu walikuhamasisha style hiyo yamaisha?
 
Ila daa pamoja na dhambi Za hawa ndugu zetu lakini wale walioandika vitabu wakasema Wasagaji. Mashoga. Wasengenyaji. Wala rushwa. Wachataka papuchi. Wanaokula kimasihara. Wachawi. Walevi. Wavuta ngada. Wachonganishi wote tutuwa sehemu moja Huku Duniani tunawanyanyapaa kule mbele tutakuwa wote sawa tu. Tunapiga story na mzee wa mapembe
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom