Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Kuna mwamba humu amefanya uzi wake
Amatetea nafsi yake kufilwa

Dah amakweli tunatofautiana
Yaani mim mwanamke akiwa kama wenge tu hua siwezi kusimamisha
Afu kunamwamba anasimamisha kwa mwanaume mwenzie daaah
i cant control chochote unachoweza fikiria juu yangu na ninachukulia ni haki yako kama binadamu but i wont let it change the way ninavyojichukulia. I know myself na Mungu ananijua pia and its enough
 
Mkuu unamaanishaMungu baba yetu aliyembinguni?
naomba nikukumbushe kisa cha huyu "dada" mwanariadha maarufu kutoka Afrika kusini kwa jina la Caster Semenya, kwenye kukimbia ailikuwa anawahenyesha wanawake wenzake kiasi cha shirikisho la riadha la kimataifa kutilia shaka kama kweli ni "mwanamke" maana uke anao, na matiti pia anayo vitu ambavyo kwa mazoea yetu tunaamini ndivyo utambulisho wa jinsia ya mwanamke! Wenzetu wakaenda mbele zaidi ya mazoea (ni kawaida tu kwao) wakapima vichocheo vya mwili (hormones) na kugundua kumbe mwili ni wa kike ila ana hormone nyingi za kiume. ( ndio maana nikakuuliza uliposema Mungu awalinde watoto wetu nimeshangaa kwakuwa Mungu huyo huyo kakosea yeye katika kuwaumba)

Sakata la Semenya lilifika hatua shirikisho kumtaka apewe zawa za kupunguza hormone za kiume na yeye akakataa na ukawa mwisho wake kushiriki riadha za kimataifa na wadada wenzake, nasikia sasa hivi kaamua kucheza mpiura wa miguu na wanawake(nitaomba kusahihishwa kama aliruhusiwa tena kukimbia)

Nimefanya kazi kama mkunga kwa miaka zaidi ya 15 kwenye wodi za wazazi bize sana, nimeshuhudia vilema vingi wanavyozaliwa navyo watoto....ila vipo vilema ambavyo havionekani kwa macho yetu, hormone za kike kupewa wakiume na za kiume kupewa wa kike ambavyo mimi Ndebile ninaamini ndicho chanzo kikubwa cha hawa watu wanaosemwa kwenye uzi huu...
Sitaki kusemea wale ambao wamejifunza ila najiuliza kama mzazi mwanangu wa kike anapocheza na kubeba mdoli wake kama mtoto, anapochezea makopo yake na kupika akiigiza umama iweje ageuke tena na kubana matiti yake ili kifua kiwe kama cha kaka yake !
View attachment 1765502

Wacha weee!!

cc: Jon Stephano
 
sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
Eeeeh😨😱,kwahiyo kaka dada huwa unachora Saba ,mbuzi kagoma,unabinua kibinda nkoi?
Una wowo laini eh?😂😅
 
Nadhani ni fashion tu Ayo mengine ni mtazamo tu sawa na kuvaa kikuku haimaanishi ndicho anachokifanya
 
Back
Top Bottom