Hiki ndicho cheti changu cha form four

Fact
 
unamfahamu ww mpaka useme anajipa matumaini kuna watu waliishia darasa la 7 wengi tu na wanapesa chafu sio za kulisi ni jasho lao walio wengi mliosoma mnaogpoa maisha sana mnaishia kuajiliwa mnafanya kazi ya kutomiza ndoto za wengine badala ya zenu
Kwani kuajiri ni kuvunja sheria za nchi?
 
Mzee shule gani ulisoma?, mwaka gani, ila hongera Mzee
 
Kama una kampuni utaniajiri.. Mimi sichagui kazi
Amekubali hahahahaha dah ..usicheze ma kitu pesa kila mtu anakitqfuta unasoma ili uajiliwe ulipwe hera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mie nilipata Fa Fa Fa zote lakini nikiamua kukutimua mjini naweza... kama unabisha jifanye unajikuna uone au uuliza wenzio walipo sasa... na kimaisha nipo A plus.... wananitumikia wenye A na B tena kwa unyenyekevu
 
Naomba nikujibu,
Wale hawana kujudge vitu Sana na hawazoom,pia huwez kupewa vyote maisha ni bahati
Mkuu nmekupa sata hata kama ukasoma mpaka marekani kama huna bahati nayo ni ngumu kutusua aisee.
 
Hao vilaza wanajifariji tu! Hafahamu kama wasanifu wa majengo wanatengenezwa pale ARDHI UNIVERSITY!

Linalilia magari tu lakini halijui hata magari yanatengenezwaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…