Hijab kwenye shule za kikristo

Hawa watu sinaga hamu nao, dini hailazimishwagi lakin sasa sio shida kukuchinja et umekana kuwa muislam aaaaaa wanaboa sana
Ulishawahi kulazimishwa kuwa muislam? Ulishaona kwa macho yako mtu akichinjwa eti kaukana uislamu. Tatizo letu tunachukia dini kwa kusikiliza propaganda za vyombo vya habari. Hebu soma maandiko uilewe dini yetu nzuri.
 
nimesoma shule ya kanisa,
kwenda kanisani ni lazima sio ombi,
ole wako ukutwe bwenini wakati wengine wako kanisani,utachezea stick za kutosha tu

Kama ni lazima, labda zile ambazo zinamlengo wa kupokea Wakatoliki tu. Lakini zile ambazo zinamlengo wa kupokea wanafunzi mchanganyiko siyo kabisa!
 
Ulishawahi kulazimishwa kuwa muislam? Ulishaona kwa macho yako mtu akichinjwa eti kaukana uislamu. Tatizo letu tunachukia dini kwa kusikiliza propaganda za vyombo vya habari. Hebu soma maandiko uilewe dini yetu nzuri.
Tatizo kwenye uislam hamna neema, sharia zinatawala sana,.. agano la kale
 
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote
Hao huwa wanajiona bora sana, Mwenyezi Mungu kawaletea Trump.
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Kwani ni kosa mtu kukutakia kheri?As-salam alaykum- Amani iwe kwako/kwenu,mbona huyo Yesu aliwasalimia hivyo mitume wake?Jifunze kabla ya kukosoa
 
glossarysevenswords.jpg
bora wavae hivi maana hivi ndio kikiristo,
 
Sio mbaya,ila wamezidisha kidogo.Jambo la msingi ni kusitiri maeneo ambayo yanaweza kumpa mwanaume kishawishi.Kwa mfano,kwa mwanaume wa kawaida kama mimi,sioni kama kuna haja yeyote ya mwanamke kufunika sehemu yeyote ya kichwa chake.Kwa kuwa sio sexually attractive.Hata chini ya goti more than one foot sioni haja ya kufunika kwa kuwa pia sio sexually attractive,unless na mimi nina shida.Frankly kujifunika gubi gubi ni kujipa mateso tu hasa kwenye sehemu zetu hizi za joto.Niseme hivi,God is more interested in your soul,not body as long as ume-dress kwa staha.Tusiwatese watu wengine kwa ajili ya kuficha udhaifu wetu.
Mkuu heshima kwako, mkuu ukisema hakuna haja ya kusitiri kichwa au magoti hebu rudi nyuma halafu tafakari, hivi hujawahi kusikia watu wakisifia sauti ya mwanamke falani ilhali hawajamwona? hapa nakusudia ya kuwa kama sauti peke yake inaweza amsha hisia flani kwa mwanaume vipi kichwa kilichobeba sura ya kuvutia? vipi magoti ambayo kwako hayavutii? Sisi wanaume kila mtu ana kitu ambacho ndio sumaku yake kwa mwanamke, na hapo ndipo uislam ulipoamuru mwanamke na ajistir mwili.wake woote kwa kuwa kila kiungo cha mwanamke ni uchi.
 
Hata Masista pia wanavaaa, habar ya dini ukiiifuatilia sana utagundua tofauti ipo sehem ndogo sana
 
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote

upload_2016-11-21_9-24-8.jpeg

main-qimg-2e2b8251a3fb51e3c06ef04cd1b5aa51-c

bd4eb73a-4722-4052-a0a9-18b7b4fe433d.jpg

fb38b05bb1c9c91dce69277357030f93.jpg
 
Hv kwann hamtumii lugha yenu??
Tunaitumia sana tu,,, ndo maana pale kuna tafsiri ,,, lengo la kutumia lugha zote mbili yaani kiarabu na kiswahili nikuogopa kubadili maana halisi ya maneno yaliyoshushiwa hii dini,,,,quran imeshushwa kwa kiarabu na Allah kupitia jibril kwa kiarabu so,, Quran its pure ,,,not polluted like other scripture
 
Kubadili lugha hakupotez maana halisi ya neno

Kuna jamaa alinijibu vizur kwamba mnatumia lugha moja ili popote muendapo hata china waweza ingia msikitin wwt na mkaelewa
Yes nlimuelewa

Ila iman kitu kibaya sana

Kwaiyo.ww unaamin kwamba ikibadilishwa kwa kiswahili basi mnakosea allah (mungu)ah ah ah

Ila thanks sana kwa kuchangia,karbu sana pia ktk ulimwengu wa uhuru,vitabu vinaandikwa havishushwi
 
Tunaitumia sana tu,,, ndo maana pale kuna tafsiri ,,, lengo la kutumia lugha zote mbili yaani kiarabu na kiswahili nikuogopa kubadili maana halisi ya maneno yaliyoshushiwa hii dini,,,,quran imeshushwa kwa kiarabu na Allah kupitia jibril kwa kiarabu so,, Quran its pure ,,,not polluted like other scripture
Imeshushwa ......ha ha ha
 
Back
Top Bottom