Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Wema sepetu1.JPG
 
Kwa mtu anayemjua Mungu wa kweli,mavazi sio ishu.Jambo la msingi ni kuvaa mavazi yanayositiri mwili.Ukiona mtu anang'ang'ania kuvaa mavazi ya aina fulani kwa kisingizio cha dini ujue mtu huyo kiroho ni mtupu,kwa maana nyingine hamjui Mungu wa kweli.
....naona unajichanganya tu ! Chemtrail
 
Kwa mtu anayemjua Mungu wa kweli,mavazi sio ishu.Jambo la msingi ni kuvaa mavazi yanayositiri mwili.Ukiona mtu anang'ang'ania kuvaa mavazi ya aina fulani kwa kisingizio cha dini ujue mtu huyo kiroho ni mtupu,kwa maana nyingine hamjui Mungu wa kweli.
Muslim women.jpg

Hapa wamejisitiri au wameva mavazi ya aina fulani Chemtrail
 
Sio mbaya,ila wamezidisha kidogo.Jambo la msingi ni kusitiri maeneo ambayo yanaweza kumpa mwanaume kishawishi.Kwa mfano,kwa mwanaume wa kawaida kama mimi,sioni kama kuna haja yeyote ya mwanamke kufunika sehemu yeyote ya kichwa chake.Kwa kuwa sio sexually attractive.Hata chini ya goti more than one foot sioni haja ya kufunika kwa kuwa pia sio sexually attractive,unless na mimi nina shida.Frankly kujifunika gubi gubi ni kujipa mateso tu hasa kwenye sehemu zetu hizi za joto.Niseme hivi,God is more interested in your soul,not body as long as ume-dress kwa staha.Tusiwatese watu wengine kwa ajili ya kuficha udhaifu wetu.
View attachment 434172
Hapa wamejisitiri au wameva mavazi ya aina fulani Chemtrail
 
Mungu wa Kweli huwa halazimishi watu, na ndiyo maana alipomuumba Adam alimruhusu pia kuwa huru ktk kumuamini, na kumuabudu, na ndiyo maana alipokosea aliweka mpango kabambe wa kumkomboa kizazi cha Adam kupitia Yesu Kristo. Hivyo ukiona kitu kama kulazimisha ujue hapo shetani anahusika. Na ndiyo maana kwa wakristo na shule zao wanatoa uhuru wa kuamini na kuabudu.
kwani Mungu gani anayelazimisha watu?
 
Kwani magufuli alopoingia madarakani wanaccm c walifurahi sasa mbona sasa hv tunalia wote hata huyo trump kwanza hawez kuuchokoza uislam
 
Kama wamevaa hivyo kwa kupenda wao wenyewe baada ya kujua maana ya kujisiri na umuhimu wake,sina tatizo,it is fine.Mambo ya kiroho hayalazimishwi,ni lazima mtu mwenyewe akubali au kwa maana nyingine ni lazima yatoke rohoni.Akifanya kwa kulazishwa haimsaidii chochote.
hawa vipi wamejisitiri au wamevaa ?? Chemtrail
 
Kwanza kabla ya kuendelea na suala hili la kwanini kuna double standards. Mie naona suala kubwa hapo ni hijabu. wengi wetu labda hatujui maana hata ya hijabu ila tunakurupuka tu kuanza ubishi. HIJABU ni vazi analovaa mwanamke ili kuficha uchi wake. Sehemu zinazotakiwa kuonekana ni uso na viganja vya mikono.
kwa kifupi hijabu haina dini fulani wala fulani. Hijabu ni wajibu wa kila mwanamke au mkristo ama muislamu. Sasa hizo shule zinazojiita za kikristo kwanini haziwalazimishi watoto wa kikistro kuvaa hijabu? Nadhani hilo mdio swali muhumu kujiuliza
Leo ndo nimejua kuwa uso niuchi
 
Watakupa na "justification" tu, kwamba sheikh maana yake mwanaume mtu mzima!! Wananipaga raha sana hawa watu
me sipendi...huwa nawajibu me si Sheikh bana..halafu wanajustify kwa maneno uliyosema
 
Hawa watu sinaga hamu nao, dini hailazimishwagi lakin sasa sio shida kukuchinja et umekana kuwa muislam aaaaaa wanaboa sana
 
Back
Top Bottom