Sky Eclat usilolijua ni kama uthiku wa giza novena ndio nini?
Nyie kwenu si mnasema ni sina??Wanakwepa dini zinazotetea ushoga
Mm mtt[/COLOR] wangu[/COLOR] alidondosha sahan akasema yesu wangu.....baba yake alimwamisha shule term ilofata
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
??? Za nn yap mm nilimpeleka shule ya wasabato kwa kuwa mwanangu alikuwa slow na walikuwa wanafundisha vizur sana ....baba yake alikubal kishingo upande kwa shart asiingie kanisan kipind cha din shule walikubal but na mtt akawa anafaulu vyema ,, sasa watt wakiimba n nyimbo za din wakifanya chochote kile n yesu ...siku baba yake alipomsikia sasa anasema yesu wangu na mbaya zaid alipomhoj akawa anasema tunafundishwa hivyo ikawa ndo mwisho wa shule akahamishwa.....????
.Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Lugha gongana. Ww hujamuelewa mwenzio. Najua hapo ww ni mkristo na ulidhani wamjibu mwislamu. Muwe mnasoma post kwa mtiririko uelewe kabla ya ku-quote. Okay dogo? Haya mpambano uendelee.Mbona hamkimbilii kwa wenzenu mnakimbilia ulaya
halafu utasikia ``Sheikh habari`` sijui nani kawaambia kila mtu ni SheikhHao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
nimesoma shule ya kanisa,Walilazimishwa kusali novena? Nijuavyo shule zote za kawaida, including vyuo ambavyo viko chini ya Kanisa Katoliki, wanafuta secular approach na hakuna anayelazimishwa. Mfano ni St Augustine University, CUEA University in Kenya, etc.
Lugha gongana. Ww hujamuelewa mwenzio. Najua hapo ww ni mkristo na ulidhani wamjibu mwislamu. Muwe mnasoma post kwa mtiririko uelewe kabla ya ku-quote. Okay dogo? Haya mpambano uendelee.
Mr. Observer
Jamaa kamaliza hoja ya huu uzi hebu mpeni jibuIli uzifanyeje Mkuu?
Masista huvaa hijabu na wanapendeza kweli mbona hammaind?Swala la kutaka watoto wa kikristo kuvaa hijab wanapojiunga na seminary za kiislam halafu watoto wa kiislam wanapojiunga na seminary za kikristo siyo sahihi kila mmoja anapokwenda kujiunga na mwengine aheshimu sheria alizozikuta la sivyo abaki kwake
Hii ni primary school na wanaambiwa wasali pamoja.Walilazimishwa kusali novena? Nijuavyo shule zote za kawaida, including vyuo ambavyo viko chini ya Kanisa Katoliki, wanafuta secular approach na hakuna anayelazimishwa. Mfano ni St Augustine University, CUEA University in Kenya, etc.
Ok. Ila pale uliyem-quote alikua amejibu post ya muislam kwa tafsiri tofauti na content ya mwandishi.Huwa sipendi neno kafir, ni matusi na derogatory term
Si kweli. Ingekuwa hivyo ungesikia ndoa hizo zikifungwa misikitini.Nyie kwenu si mnasema ni sina??
Ok. Ila pale uliyem-quote alikua amejibu post ya muislam kwa tafsiri tofauti na content ya mwandishi.
Suna ya mtumeSi kweli. Ingekuwa hivyo ungesikia ndoa hizo zikifungwa misikitini.
Kwenu hiyo huenda ni ibada takatifu ndio sababu hadi makanisani zinafungishwa
Mkuu sipendi sana kuongelea mambo ya dini pamoja na hayo Wayahudi, Wakristu na Waislam wote tunamwamini Mungu mmoja, hata nikikaribishwa chakula na yeyote kati ya hawa sina matatizo ila wale wanaoamini ng'ombe na bhuda huwa niko very conscious kuwa nao..
Sky, sometimes huwa unaongea mambo mazito. Kikanuni shule zote ambazo sio seminari zinapaswa kuheshimu uhuru wa kuabudu wa kila mwanafunzi.
Kama Ali ni mwislamu anasomea St. Anthony's Sec School, siku ya JUmatano ya Majivu haimhusu. Kusali sala za asubuhi katika paredi moja kwa kutumia Biblia au Misale ya Waumini Katoliki hakuruhusiwi.
Hata hivyo, haya yanafanyika kwa kuwa serikali haijayawekea katazo lenye mkazo. In fact, niliwahi kufundisha shule moja, ambako nilisikia Headmaster anasema Baba Askofu amemwambia walimu wote wawe wanasali na wanafunzi Jumapili.
Nilimcheka sana HM na Askofu wake, tena huyu askofu ni PhD holder. Haki zinapiganiwa....