Hijab kwenye shule za kikristo

Nenda kasome petro 5:7 ili ujue nani wakumkabidhi huo wasiwasi wako ikiwa hujui pa kuupeleka halafu urudi hapa tujadili.
Polisi ufaransa wakilazimisha mama wa \kiislaam avue Hijjab !
 
Mbona Maria mama wa Mungu sijaiona hapo?
 
Kwanza kabla ya kuendelea na suala hili la kwanini kuna double standards. Mie naona suala kubwa hapo ni hijabu. wengi wetu labda hatujui maana hata ya hijabu ila tunakurupuka tu kuanza ubishi. HIJABU ni vazi analovaa mwanamke ili kuficha uchi wake. Sehemu zinazotakiwa kuonekana ni uso na viganja vya mikono.
kwa kifupi hijabu haina dini fulani wala fulani. Hijabu ni wajibu wa kila mwanamke au mkristo ama muislamu. Sasa hizo shule zinazojiita za kikristo kwanini haziwalazimishi watoto wa kikistro kuvaa hijabu? Nadhani hilo mdio swali muhumu kujiuliza
 
"Yale Mazuri ya watu Wazuri Huwa Mabaya kwa watu wabaya"
 
Acha udini. Tuishi kama siku zote.
siyo udini, issue ni kuwa upande mmoja hauthamini upande mwingine kwa kuuona hauna haki, mimi mdogo wangu alisoma Thaqaafa ya mwanza, alikuwa anavaa hijabu kwa lazima, kwa kuwa ni shule inayomilikiwa na taasisi ya kiislamu, lakini ukienda pale SAUT, bado waislamu wanaruhusiwa kuvaa baibui kama kawa, sasa hapo nani ana udini?
 
Hakuna muisilamu anasoma seminary za kikristo. Bali wapo waisilamu wanao soma Shule za binafsi zinazomilikiwa na wakristo
Jk alisoma wapi? Makamba alisoma wapi? Salim Ahmed Salim alisoma wapi?
 
Nashangaa sana mtu anachukia muislam kuvaa hijab eti kisa yeye ni Mkiristo! Inakuhusu nini wewe hijab mpaka uchukie! Ni chuki za kidini tu mangapi waislamu hawayapendi Ila wakristo wana yapenda je waislamu wasimame waseme hatuyataki haya mtajisikiaje ni chuki na udini tu
 
Kama mdogo wako kweli ni mkristo anatakiwa afurahie kabisa. Maana anavaa vazi takatifu. Vazi bora. Vazi la bikra Mariaa!![emoji3]
 
halafu utasikia ``Sheikh habari`` sijui nani kawaambia kila mtu ni Sheikh
Watakupa na "justification" tu, kwamba sheikh maana yake mwanaume mtu mzima!! Wananipaga raha sana hawa watu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Enyi mlioamini! Msiwafanye kuwa marafiki Mayahudi na Manaswara.
 
Kama hujashuhudia haimaanishi haijawatokea, Mimi nimeshashuhudia.

Hapa inatakiwa tu watu kuwa wastaarabu, huwezi kuweka nyimbo/mawaidha ya dini flank kwenye chombo cha public. Sio dini tu, kuna watu wengine wanaweka nyimbo za kilugha kwenye simu zao na zinaimbwa kwa loudspeaker. Huo Si uungwana hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…