Hijab kwenye shule za kikristo

Hakuna Kafiri. Walioitwa makafiri wakati ule ni waarabu waliokuwa wanapingana na Uislam. Wakristo katika Qurani wameitwa wakristo na mayuhadi waliitwa watu wa kitabu.kwa hiyo neno Kafiri si sawa kutumiwa wakati huu.
Huelewi hata unachotetea.

Nani kakwambia kwa sasa makafiri hawapo?.

Nisikulaumu,pengine hata maana ya kafiri hujui.
 
Mnawaita makafir halafu mnatoka arabuni mnakimbilia huko. Nenda iran, hakuna vita, nenda malaysia hakuna vita
Unajua kwa nn wanaenda ulaya?! Wazungu wasio waislam hufanya kila aina ya hila kuharibu bara Arab,lengo kuu ni kuubomoa uislam, ss Muslim wanaenda Europe kuuingiza uislam kabisa uote mizizi,na ndio maana wenzenu wameanza kushtuka hawataki wahamiaji.....Malaysia,Iran tayari uislam Upo imara!Hakuna sbb ya Kwenda huko
 
Maria akuombee kwq andiko gani?
 


Alifanya makosa makubwa sana na makosa hayo huwa yanafanyika sana katika jamii za waislamu,kama elimu bora zipo shule za seminary nyingi sana za waislamu zinazotoa elimu bora pia na gharama imechangamka pia.
 
SIWEZI KUMPELEKA MWANANGU SHULE ZA MAKAFIRI WALA NGURUWE HATA SIKU MOJA AISEEE,HUKO NI KUFANYA MZAHA NA IMANI YANGU NA NITAKUWA NIMEFANYA KOSA KUBWA SANA MBELE YA MUUMBA WANGU,NI BORA ASOME HATA SHULE ZA SERIKALI ZA KATA TU.


SIPENDI UJINGA MIMI.
 

Tulieni mtawaliwe nyie. zaidi ya hapo pelekeni watoto shule hamna namna.
 

Tulieni mtawaliwe nyie. zaidi ya hapo pelekeni watoto shule hamna namna.
Si vibaya kwani ninyi ni wa ulimwengu huu. Kesho yenu ni majanga

Kesho yetu anaijua Mungu
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Ila mkuu ujue neno "Slaam aleykum"(kama nimepatia uandishi) ni neno tu la kiarabu likiwa na maana "Amani iwe nawe" salamu ambayo unaweza kumsalimia yeyote. Ila ukija kwenye hiyo nyingine "Bwana Yesu asifiwe", hii ni ya mkristo pekee.
 
akili zenu ni zile zile, kuna ulazima gani kunisalimia kwa kiarabu wakati mi mswahili!!!!???
 
mgalatia mbona unaingilia kazi si yako ? .....unafikiri peponi wanaenda kwa 'Yesu nibebe !?'
 

Mimi binafsi ni Mkatoliki, na nimelelewa na kukuzwa katika msingi ya kikatoliki...lakini nauliza tu hivi yale mavazi ya 'ma'sister' wetu wa kikatoliki kwa maana kile kitambaa cha kichwani ni mfano wa hijab au nini????
 
akili zenu ni zile zile, kuna ulazima gani kunisalimia kwa kiarabu wakati mi mswahili!!!!???
Ajabu ni kuwa Mnyalukolo unataka kusalimiwa kwa Kiswahili !
Hicho Kiswahili theluthi moja ya maneno yake ni ya Kiartabu.
Kama: salaam, kheri, kalamu, wilaya, ameir jeshi, wilaya, ahsante, karibu, shukran, kisasi, juhudi (jihadi) !
 
Ajabu ni kuwa Mnyalukolo unataka kusalimiwa kwa Kiswahili !
Hicho Kiswahili theluthi moja ya maneno yake ni ya Kiartabu.
Kama: salaam, kheri, kalamu, wilaya, ameir jeshi, wilaya, ahsante, karibu, shukran, kisasi, juhudi (jihadi) !
Unajua shida yenu mnajua elimu ahera tu, hujui kwamba kuingiliana kwa lugha ni jambo la kawaida!? kwa hiyo unadhani kiarabu ndo hakijatohoa maneno toka ligha zingine!? lugha nyingi tu duniani zinakopa maneno toka lugha zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…