Hii ya masanja mkandamizaji nimeipenda

Hii ya masanja mkandamizaji nimeipenda

Amechemka kdgo ndg yang Mkandamizaji!Angewaomba wote wanaoguswa na ugonjwa wa huyu bwana,Wachangie hata via M PESA,tgo pesa,nmb e.t.c not only wabunges.Naamini hata humu humu kuna watu 2ngetuma chochote
Mkuu yaani wewe kutoa mchango mpaka uambiwe / uombwe..?
Duh sasa kama hakakuomba kunakukataza nini kuchangia..?, wewe toa tu mkuu
 
kiukweli masanja leo kasema ukweli haswaa,hivi kwaheshimiwa wakiamua kuchanga hiyo pesa mbona sajuki atapona haraka!

Kuchanga siyo inshu. inshu ni kwamba hizo hela zitamfikia mlengwa?!!
 
kuna rais na mkewe,pinda na mkewe,ngeleja,membe,zitto,john komba,halima mdee,magembe,manji,rwakatare nk
Wanasubiri mpaka mambo yaharibike kisha waende kuuza sura na kufunga barabara.
 
Hivi kwanini wao wenyewe hawasaidiani? Nimependa idea yake
Alisema ukiona wanaomba msaada ujue wao wameshindwa! Amefanya vizuri sana manake kiukweli Sajuki anaumwa sana!
 
masanja ingekua vema ka angeonyesha mfano, so long as anapokea mshahara,,..
lakini alisema wazi kuwa ukiona mpaka wameomba ujue wenyewe wamejaribu ila wameshindwa kufikia lengo...zinahitajika kama mil25 alisema...mi sioni ubaya binafsi yangu coz mbona kwenye vitu vingine visivyo na umuhimu kivile wanatoa ma mil ya shilingi...itakuwa hili la kuokoa maisha ya mtu??!!
 
Back
Top Bottom