Hii ya masanja mkandamizaji nimeipenda

hii imetulia....ifanye kazi basi.....wasiweke uso wa mbuzi hao watajwa.......
 
kweli tuchangie matibabu ya mtu akiwa hai na si akishakufa ndo mapedeshee wanajifanya wameguuswa!
 
Hivi kwanini wao wenyewe hawasaidiani? Nimependa idea yake
 
Najua umeangalia comedy hapa tbc.Masanja kawataka wabunge/waheshimiwa kutoa hela za kumsaidia msanii sajuki.Kila mmoja milion 2 au 1.Na kawataja majina yao.Duh
Hapana mkuu sio wote tumeangalia...

Yaani kawataja majina wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..?, si angetumia kama robo saa nzima?
 
Hata mimi nimependa hilo....lazma wamchangie ila ni hadi wajue kuwa wametajwa
 
Big up Masanja,

Tutawajua kama wana busara au ni wanafiki/wajinga ambao wanaona ni bora kujionyesha kwenye msiba au kujipendekeza kwa mfu badala ya kuokoa maisha ya aliye hai!
 
Hapana mkuu sio wote tumeangalia...

Yaani kawataja majina wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..?, si angetumia kama robo saa nzima?

Hapana mkuu jamaa kawataja aliowaona wamejipendekeza kwenye msiba wa Steve Kanumba. Mh. J.Makamba nilikuona kwenye msiba tena ulikuwa msitari wa mbele kabisa, tuletee 1m. Mh. Ngeleja na wewe nilikuona tena ulikuwa mnyenyekevu sana pamoja na kelele zinazopigwa juu yako, wewe tuletee 2m. Msnj kanikosha!
 
Back
Top Bottom