Sauti ya kitaa

Sauti ya kitaa

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
264
Tuna Wabunge 393 wakikatwa laki 2 tu! kwa mwezi kwenye mishahara yao kwa miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.716 hii ni fedha inajenga Zahanati 15 + au Vituo vya Afya 4 Vifaa Tiba Pamoja na Madawa.

Wastani Mshahara wa Mbunge ni Milioni 14 akitoa laki 2 anabakiwa na milioni 13.8

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina wabunge 393

Kwa mwezi kama Kila Mbunge akitoa laki 2
200,000 × 393 = 78,600,000

Kwa Mwaka 1
78,600,000 ×12= 943,200,000

Kwa miaka 5
943,200,000×5 = 4,716,000,000

Kwa Miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.7

Hiyo ni asilimia 1.43 tu ya mshahara kwa Kila Mbunge.

Hizo Bilioni 4.7 Zinajenga Nini

1. Zahanati kamili ya kijiji gharama takriban

Tsh 300,000,000

4.716B÷300M = Zahanati 15 kamili

2. Kituo cha Afya kamili gharama takriban

Tsh1,000,000,000

4.716B ÷ 1B = Vituo vya Afya 4 kamili na
Salio linabaki Milioni 716,000,000 la kununua dawa na Vifaa Tiba.

Mkuu hesabu imetulia, Unaona je!

kama tungeliingiza na madiwani 2,318 wakatoa laki 1 tu, tungejenga zahanati ngapi zaidi?

Hitimishi......N.B

Maoni ninayo andika hapa ni uchambuzi wangu binafsi kama mwananchi anayejali maendeleo ya taifa.

Hayana uhusiano wowote na taasisi, chama, au mamlaka yoyote ya serikali.

Lengo ni kuchochea majadiliano ya kitaaluma kuhusu sera za umma kwa maslahi ya taifa, kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba ya JMT - Haki ya Kutoa Maoni Sio wito wa vurugu, wala si uanaharakati.

Sauti yangu isinyamaze kwa hofu, Lakini silaha yangu iwe kalamu ya mtaalamu, sio mawe ya mtaani.
Ahsanteni sana 🙏🙏🙏🙏
 
Subutu, wakati tuna jipanga kuwa kamua boda na machinga ni matajiri sana, wazo lako ni zuli sana na hapo hata SS wa chini tunge amini kua nao ni wazalendo hivyo tunge lipa Kodi bila kinyingo, pia wangekua na uchungu wa kusimamia vilivyo Mali ya umma kwa kua na wao kuna jasho Lau, na sio wabunge tu hata kiranja mkuu na mawaziri.
 
Tuna Wabunge 393 wakikatwa laki 2 tu! kwa mwezi kwenye mishahara yao kwa miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.716 hii ni fedha inajenga Zahanati 15 + au Vituo vya Afya 4 Vifaa Tiba Pamoja na Madawa.

Wastani Mshahara wa Mbunge ni Milioni 14 akitoa laki 2 anabakiwa na milioni 13.8

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina wabunge 393

Kwa mwezi kama Kila Mbunge akitoa laki 2
200,000 × 393 = 78,600,000

Kwa Mwaka 1
78,600,000 ×12= 943,200,000

Kwa miaka 5
943,200,000×5 = 4,716,000,000

Kwa Miaka 5 ni sawa na Bilioni 4.7

Hiyo ni asilimia 1.43 tu ya mshahara kwa Kila Mbunge.

Hizo Bilioni 4.7 Zinajenga Nini

1. Zahanati kamili ya kijiji gharama takriban

Tsh 300,000,000

4.716B÷300M = Zahanati 15 kamili

2. Kituo cha Afya kamili gharama takriban

Tsh1,000,000,000

4.716B ÷ 1B = Vituo vya Afya 4 kamili na
Salio linabaki Milioni 716,000,000 la kununua dawa na Vifaa Tiba.

Mkuu hesabu imetulia, Unaona je!

kama tungeliingiza na madiwani 2,318 wakatoa laki 1 tu, tungejenga zahanati ngapi zaidi?

Hitimishi......N.B

Maoni ninayo andika hapa ni uchambuzi wangu binafsi kama mwananchi anayejali maendeleo ya taifa.

Hayana uhusiano wowote na taasisi, chama, au mamlaka yoyote ya serikali.

Lengo ni kuchochea majadiliano ya kitaaluma kuhusu sera za umma kwa maslahi ya taifa, kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba ya JMT - Haki ya Kutoa Maoni Sio wito wa vurugu, wala si uanaharakati.

Sauti yangu isinyamaze kwa hofu, Lakini silaha yangu iwe kalamu ya mtaalamu, sio mawe ya mtaani.
Ahsanteni sana 🙏🙏🙏🙏
Gentleman,
kwa umuhimu na uzito wa majukumu ya kibunge mjengoni na field kule jimboni kwa wananchi, kiasi cha mshahara na posho bado ni kidogo mno.

Ni kwa uzalendo, mapenzi kwa Taifa na kuweka mbele maslahi mapana ya taifa na waTanzania wote, ndio maana wabunge huchukua kiasi hicho kidogo na kisichotosheleza mahitaji ya majukumu yao, bila manung'uniko yoyote, lakini pia bila kulalamika au kudai nyongeza na maslahi zaidi.

Ni muhimu sana kuwatia moyo waheshimiwa wabunge wanaofanya kazi kubwa sana kwenye mazingira magumu majimboni, na kwakweli ni muhimu sana kutambua wajibu wao mkubwa na mzito sana kwa taifa, na ni muhimu sana kuwaombea Baraka na Neema za Mungu, waendelea kuchapa kazi za wananchi wao kizalendo na kwa bidii zaidi bila tamaa ya maslahi zaidi ingawa wanayahitaji.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
kabla ya kufikiri kuwa hela haiwatoshi.
Hebu ongezea kuwa nje ya hizo Mishahara na Posho inayofikia 12+ kwa mwezi. Pia wanalipwa
  • posho ya kikao 300k kwa siku kwa siku zote wanazokaa vikao bungeni,
  • Hupata mafuta ya gari ya kila mwezi,
  • bima ya afya ya daraja la kwanza kwa ajili ya familia,
  • kiinua mgongo kikubwa baada ya miaka 5, (mill 400+)
  • na fedha za Mfuko wa Jimbo.

  • Wanakopesheka na Mabank kirahisi.
  • Wanaweza kuomba Misaada kwenye Makampuni na viwanda ili kusaidia maendeleo jimboni.
 
narudia kueleza tena ukweli mtupu kwenye jambo hili muhimu na la msingi sana kwamba,

kwa uzito wa majukumu ya kibunge mjengoni na field kule jimboni kwa wananchi, hata mishahara iongezwe kufikia million30 kwa mwezi, na posho za vikao iwe hata millioni2 kwa kila kikao, bado kiwango hicho ni kidogo mno, ukilinganisha na hali halisi ya kazi na majukumu ya kibunge mjengoni na field kwa wananchi.

na hiyo sio Tanzania tu, ni katika mabunge yote kote ulimwenguni, maslahi ya wabunge hayajawahi kua mazuri wala ya kujitosheleza ukilinganisha na uzito na ugumu wa majukumu yao ya kibunge 🐒
 
Nilikuwa nadhan ww ni Kichaa.
Kumbe sio kudhani tu.
😊😊😊😊.
 
Back
Top Bottom