Hii ya masanja mkandamizaji nimeipenda

Amechemka kdgo ndg yang Mkandamizaji!Angewaomba wote wanaoguswa na ugonjwa wa huyu bwana,Wachangie hata via M PESA,tgo pesa,nmb e.t.c not only wabunges.Naamini hata humu humu kuna watu 2ngetuma chochote
 
Mh Ngeleja tulikuona tunaomba tena na suti la mikono mirefu m2,mh Mchimbi tena wizara hii yako m2, mama pinda pamoja na kuhamasisha net wewe tupe tu m1 na kuendelea mh Pinda baba ba baaa si chini ya m2,mh january ulijitokeza sana kuuza sura m2,mh mama wa white house wewe mamaa tupe jiwe! etc etc
 
kiukweli masanja leo kasema ukweli haswaa,hivi kwaheshimiwa wakiamua kuchanga hiyo pesa mbona sajuki atapona haraka!
 
jamaa amefanya la maana sana coz wameshazoea kuuza sura tu ngoja tusubiri km litafanikiwa
 
Najua umeangalia comedy hapa tbc.Masanja kawataka wabunge/waheshimiwa kutoa hela za kumsaidia msanii sajuki.Kila mmoja milion 2 au 1.Na kawataja majina yao.Duh
Ktk waheshimiwa waliotajwa na masanja jee na mm kanitaja?maana mie sijaangalia tbc bcoz nilikua busy najiandaa na safari yangu ya kesho to london na mkuu wa kaya.
 
kiukweli masanja leo kasema ukweli haswaa,hivi kwaheshimiwa wakiamua kuchanga hiyo pesa mbona sajuki atapona haraka!

kuchangiwa sawa kupata matbabu sahihi,,,kupona nimajaliwa yake mola,tumuombee,apone,mchango murua,
 
Amechemka kdgo ndg yang Mkandamizaji!Angewaomba wote wanaoguswa na ugonjwa wa huyu bwana,Wachangie hata via M PESA,tgo pesa,nmb e.t.c not only wabunges.Naamini hata humu humu kuna watu 2ngetuma chochote

Namba ya M-pesa pia ilitajwa pale kwa wengine woote tunaoguswa kuchangia.
 
Masanja kwa hili atakuwa ametumia vema kipaji chake na nina matumaini makubwa kwamba waliotajwa wataguswa kuchangia na sisi tuwaunge mkono.
 
Hapana mkuu sio wote tumeangalia...

Yaani kawataja majina wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..?, si angetumia kama robo saa nzima?
Sio robo saa tu, ametumia kipindi kizima cha leo. Ameanzia Halima Mdee mpaka waziri mkuu na makamu wa Rais
 
MMEZIDI KUWAOMBAOMBA ELA HAO WABUNGE ALAFU WAKITAKA KUJIONGEZEA POSHO MNAWAKATALIA.
- kwanini wasiji'organise wasanii wenyewe na wamchangie mwenzao?
- kwanini wawalazimishe wabunge tu, na sio wakuu wilaya, mikoa na hata viongozi wa kada nyingine. Hii tabia ya kila kinatakiwa kifanywe na mbunge ni mbovu na ndio inaliangamiza taifa kwa wenye matajiri mfano: rostitamu, lowasu, etc. Kutumia pesa zao kwa matatzo yetu then inturn mwishowe tunakuja kuangamia kwa vitendo vya UFISADI.
 
Ktk waheshimiwa waliotajwa na masanja jee na mm kanitaja?maana mie sijaangalia tbc bcoz nilikua busy najiandaa na safari yangu ya kesho to london na mkuu wa kaya.

kwani mh. Membe ulikuwepo kwenye msiba wa Kanumba si ulikuw uwanja wa Taifa?
 
Amechemka kdgo ndg yang Mkandamizaji!Angewaomba wote wanaoguswa na ugonjwa wa huyu bwana,Wachangie hata via M PESA,tgo pesa,nmb e.t.c not only wabunges.Naamini hata humu humu kuna watu 2ngetuma chochote

mbona alitaja namba ya mpesa.
 
Nasuburi alhamis atapokuwa anataja waliochanga.Maana katuahidi atarudi na feedback
 
Back
Top Bottom