Hii ya Juma Pinto Inatisha

Mkuu Pasco heshima kwako! Naona leo unamwaga madini tu hapa ingawa kuna vijana hapa hawakuelewi! Safi sana kamanda ila huwa unaharibu kutetea ZZk & co.
Wa Kwilo, kiukweli siku zote nabii huwa hakubaliki nyumbani!, hawa jamaa ni jewels!, japo bado mna ma profesor wengi, but take it from me, the gap ya kutokuwepo Kitila ni very visible asn soon you'll start paying the price!.

Pasco.
 
Nadhani unahitaji uwe na jicho la tatu kumwelewa Pasco, ukiangalia comment yake ni kama anamtetea Juma Pinto lakini si hivyo, kwa comment hii ndo naanza kumwelewa Pasco!

mi nilimwelewa toka aliposema get rich or die tryng
 

ni ishu fulani hivi inahusisha mapenzi ya jinsia moja
 

Mkuu ahsante sana kwa maelezo
 

Mkuu post zako ni very inspiring ujue... Napata mizuka tu hapa ya utajiri na umri unaenda
 
ni ishu fulani hivi inahusisha mapenzi ya jinsia moja[/QUOT
Mkuu kila unachoskia kinamaana kwako? Nadhan vingine ni kupotezea tu unless mtu umekosa kazi za kufanya... Otherwise piga kazi get busy tuzisake ankara tutishe
 


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam
 



Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa mabango ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru baada ya kuyazindua rasmi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni OfisaMtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, Juma Pinto.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk. Mahamoud Mgimwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick (kushoto kwake).
 
Sasa mlikuwa mnataka nn...mkishajua hivyo...kwann tusijadili vitu vya msingi kama Iptl..gas..badala ya kujadili watu.
 
watu kama hawa unawatafutia sniper tu anawadedisha manake serikali imeshindwa
 
Sasa mlikuwa mnataka nn...mkishajua hivyo...kwann tusijadili vitu vya msingi kama Iptl..gas..badala ya kujadili watu.

Rais anasema anayo list ya wauza unga lakini anashindwa kuwataja, kumbe ni watu wa karibu sana kwenye familia yake.
 
get rich or die trying....imeniklik tena akilini maana kila unapo jaribu kucheza fair play mambo hayaendi
zamani tulicheza rafu tukapewa red card sana....ila tunapoelekea ahhh sijui itakuwaje
in short kufanikiwa kihalali ni ngumu sana... Pasco

Amini nakwambia, "sikuzote" kilicho cha kweli, kilicho cha haki, kilicho cha Mungu no lazma kionekane kigumu, lakini Ukweli ni kwamba at the End no lazma ukipate!

Ukiyaka kua Professor, lazma usome sana, lakini ukitaka kuupata u Proffesor Kwa njia za mkato, so kazi., utaupata tuu, ila am a Kwa hakika utakuaibisha mbele.

Ndivyo yalivyo mafanikio, ukitaka Kufanikiwa no lazima uwe mvumilivu, maana hakuna kizuri ambacho hujakwa haraka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…