ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Mkuu Shark, sio upendeleo, but ni "getting connected!".
Sifa kubwa ya mwandishi mzuri wa habari, anatakuwa kuwa na "nose for news", yaani pua ya kunusia habari!, baada ya kufanya kazi newsroom, hiyo pua zaidi ya kunusa habari, pia una nusa harufu ya "ankara!", hivyo mwanzo unaanza na habari na "ankara", baadae unaachana na kunusa habari, utanusa zile tuu habari zenye "ankara!", ndia maana zikifanyika semina, warsha, makongamano na mikutano, waandishi kibao kwa sababu ya "ankara!" kwenye tule tuji little brown envelopes!", ukifanikiwa kunusa "ankara" pekee, hii sasa ndio inaitwa "opportunities!", unachangamkia tenda na sio unapewa au kuletwa kwenye kisahani cha chai!, na kuna watu wanaodhani ni rahisi!, kukamata tuu microphone na kupiga blah blah!, au kukamata tuu kalamu na kuandika!, no way, ili pesa zije, lazima ufanye kazi haswa, and you have to be good!, Pinto is good kuchangamkia michongo!.
Na wengi huanzia kwenye to work hard to make money!, ukiisha zitengeneza za kutosha, you don't have to work all that hard kuziongeza ili ziziishe, but now you have to use money to work for you!, ndio ukifika mahali, unakimbiliwa kuhudumiwa, huongei wewe, pesa itaongea!, ndipo jamaa kashangaa yuko kwenye foleni, watu wanakimbizana kukimbilia mabegi, kuyapitisha off the screen!.
Ukiwa na pesa, unanyenyekewa, unageuka mfalme!.
Pasco.
Kwahiyo Watajwa Hapo Juu Ndiyo The Most WANTED au? Ila Unafaa Kuwa Mbana Pua Kwa Kutengeneza Mistari!
da olesaidimu the gtGot you maam, same boat now!!!!
We Pasco, kwani Juma Pinto naye ni VIP? Tangu lini. Historia fupi ya Pinto ni hii: Alisoma sekondari ya Alharamain mpaka kidato cha nne, ingawa matokeo yake hayakuwa mazuri. Alicheza soka kwenye timu ya Pan African miaka ya 1990s, kabla ya kuibukia kwenye magazeti kama mwandishi wa habari za michezo. Baadaye alipewa nauli na kibopa mmoja ili aweze kwenda UK kwa dada yake. Inasemekana akiwa huko alijilipua na hivyo kushindwa kurejea nchini mpaka rafiki yake JK alipoingia madarakani. Akiwa UK hakuwa na shughuli yoyote ya maana zaidi ya kutumwatumwa na dadake. Mambo yake yalianza kubadilika kidogo alipoanzisha kampuni ya Jambo akiwa UK. Ilikuwa ni kampuni ya kawaida sana hadi alipopewa dili ya matangazo na JK. Hiyo dili ilikuwa ni shukrani baada ya yeye kumkaribisha na kuishi na Riz1 pale alipoenda kufanya masters UK ingawa alifeli na kurejea nyumbani. Pinto alifanikiwa kupata pasi ya kusafiria na kurejea nyumbani huku akiendelea kupewa upendeleo maalum katika masuala mbalimbali. Hivi sasa ni mshirika mkubwa wa Riz1 kwenye biashara. Sina uhakika kama wanafanya pia biashara haramu.
Waungwana msomeni vizuri Pasco.
Nadhani unahitaji uwe na jicho la tatu kumwelewa Pasco, ukiangalia comment yake ni kama anamtetea Juma Pinto lakini si hivyo, kwa comment hii ndo naanza kumwelewa Pasco!
Wanted ni front man wake anayeitwa Vithlani!, hawa majajiri wakubwa wana oparate the mafia way!, unamtanguliza mtu baki!.
Hata kwenye zile bilioni 40 za Kagoda, paper work zote zina majina ya ile legal firm tuu, the bid boss ni safe, na ndio hao wanaopaki magari hadi ndani ya ikulu yetu huku mawaziri na mabalozi wakisongana huko nje!.
What matters ni kuwa na fedha!, ukiwa nazo wewe ndio kila kitu!,
Hamuona jinsi ilivyo ngumu kupata appointments na mabalozi, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, lakini kila uchao, mtashuhudia mabalozi hawa hawa wakiwa ofisini kwa kina "fulani" kwenda kusalimia!, unadhani ni nini hicho kama sio pesa!.
Tatizo la pesa nazo, when you have them, you want more, when you get more you want power!, hap ndio mina Mkono, kina MO, kina Ndesa, EL etc kukimbilia kwenye siasa!.
Msishangae 2015 akatinga bungeni!, then waziri, na ukaundwa set nyingine ndogo ya Boys II Men, wa 2025!.
Pasco
... sijui wangapi wanajua kuwa mbegu ya michikichi ya Malaysia ilitoka Tanzania!.
...
Pasco.
Mkuu heshima yako. Kuna namna yoyote unaweza kudhihirisha usahihi wa hili? Imenivutia.
Mkuu Nkya, sijawahi kuhudhuria "private party" ya kigogo yoyote, na sio bongo tuu, popote!. Sherry Party sio "private party!".
Pasco.
pole sana ila one day yes!!!
MUNGU huyu huyu km si kwake ht kwenye damu yake
No utakuwa umenichanganya mimi na yule muzeiye wa ku party!, mimi ni mwandishi hivyo kuhudhuria party ni sehemu tuu ya kazi na sii sehemu ya kujirusha!, hata hivyo mwakilishi wetu wa jf kwenye parties zote kubwa kubwa za kujirusha pia yupo!.Mkuu Pasco, heshima yako. Ila zote ni party. Nilipitia post zako kadhaa huko nyuma na inaonekana attendance zako kwenye either sherry party na private party za vigogo umehudhuria karibia zote..
Ni kweli kabisa na Barbara zote ukitoka Kuala Lumpur kwenda Singapore mpaka mji wa Ipoh na kutoka Kuala Lumpur mpaka Surabaya ni miji mingine hilo ndio zao kuu la kibiashara na linafanya vema sana! Ukisoma historia yake inathibitisha kuwa mbegu zake zilitoka Afrika Mashariki nchi ya Tanzania kama sikosei miaka ya 60
Mkuu illegal migra, inawezekana!.mkuu Pasco kuna siku nilikuwa na mwanahabari wa wizara fulani alikuwa anakuongelea sana sijui kama ni chuki binafsi lakini aliongea kwa msisitizo maneno machafu sana juu yako as if ameshawahi kukushuhudia
Fundisi Muhapa, you are very right, nimechanganya kati ya palm oil na coconut palm, coconut palm ndio ilitoka Zanzibar, ililetwa na Sultani Said Said kutoka Oman, mfalme wa Oman ndio hao hao wa Zanzibar na Brunei, ndio walioleta Nazi kule na kuzisambaza!.Mkuu, imenibd nigugogugo. History ya palm Malaysia inaanzia 1917. Mbegu zilitolewa na walowezi west africa ambako pia ndi chimbuko la hiyo palm. Unless kuna taarifa tofauti.
Fundisi Muhapa, you are very right, nimechanganya kati ya palm oil na coconut palm, coconut palm ndio ilitoka Zanzibar, ililetwa na Sultani Said Said kutoka Oman, mfalme wa Oman ndio hao hao wa Zanzibar na Brunei, ndio walioleta Nazi kule na kuzisambaza!.
Pasco.
Fundisi Muhapa, you are very right, nimechanganya kati ya palm oil na coconut palm, coconut palm ndio ilitoka Zanzibar, ililetwa na Sultani Said Said kutoka Oman, mfalme wa Oman ndio hao hao wa Zanzibar na Brunei, ndio walioleta Nazi kule na kuzisambaza!.
Pasco.