Hii Vita ni Marekani vs Urusi katika uwanja vita wa Ukraine

Moja ya kitu ambacho US hakukitegemea na hakipendi na hataki hata kukisikia, Russia kuuza bidhaa zake na rasilimali zake kwa Ruble (nazani mnakumbuka Gadafi kilicho mkuta).

Na ruble kila siku inazidi kupaa,hiki alicho kifanya kitawashtua na kuzihamasisha nchi nyingine ziuze bidhaa na rasilimali zao kwa hela zao ni swala la mda hii vita italeta mapinduzi makubwa na mitizamo mipya kiuchumi. US kishaona dalili dola yake inaenda kupotezwa polepole.
 
Hajapoteza, hata Russia hizo silaha ndogondogo walizopoteza ni sawa na kwamba hawajapoteza. Vipi kuhusu idadi ya kupoteza askari?
Hilo swali atajibu vzr Zele.. yeye amesema wanakufa 100 kila dk watu wenu mliowapeleka mbele.
Kuhusu silaha. Mlisema mlimpa zaidi ya mahitaji ila HAZIPO .Kama amepoteza kwa kuuza MUULIZENI

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ni lini US amepigana na Afghanistan?
Amepigwa sio kupigana mkuu. Unapovamia nchi ya watu hats ukiungwa mkono na vibaraka wale wanaokupinga nao pia wanna title ya utaifa wa nchi iliyovamiwa.
Kwahiyo basi US wametandikwa mbaya baada ya kuikalia Afghanistani kwa miaka 20+.
Waafghanistan wale Ni robots wameishinda dola ya Uajemi, Uingereza, Urusi itakuwa mdebwedo US!?
Walitandikwa mbaya juzi Kati wakakimbia kwa aibu.
 
Habari ya mjini ni US vs RUSSUA pale stadio de ukrainee

Ukraine conflict: Why Biden won't send troops to Ukraine​

  • By Barbara Plett Usher
  • BBC State Department correspondent
25 February 2022
Joe Biden addresses the nation

IMAGE SOURCE,GETTY IMAGES
Image caption,
Joe Biden addressed the nation - most of whom share his caution about risking US lives
President Joe Biden has spent enormous diplomatic capital on countering Russian aggression toward Ukraine.
His administration relentlessly broadcast doomsday warnings about an impending invasion - which proved to be correct - and declared that no less than the international order was at stake.
But Mr Biden has also made clear that the Americans are not willing to fight, even though the Russians clearly are. Furthermore, he's ruled out sending forces into Ukraine to rescue US citizens, should it come to that. And he's actually pulled out troops who were serving in the country as military advisers and monitors.
Why has he drawn this red line in the most consequential foreign policy crisis of his presidency?
 
Sababu ni kuuwawa kwa askari wenu zaidi ya 30,000 wakiwemo majenerali 12. Limeli lenu kuzamishwa ni sababu ya ziada. Mlisema atakayeisaidia Ukraine mtampiga US anasaidia waziwazi lakin mmeufyata.
Vitani kupoteza vifaa na watu si Jambo la kushangaza. Unajua kwanini kuanzia mwanzo Hadi mwisho was Vita Askari was pande 2 hushindana kuua na kuharibu vifaa vya adui.
Aghalabu Ni ajabu kuona mtu anashangaa Sana kuharibuliwa kwa silaha za US au Russia au uchina.
State of the art weapons Kama moscova ama f 111 ziliharibiwa zikaacha watu wakijiuliza ziko wapi sifa za kwenye karatasi vitani?
 
Habari ya mjini ni US vs RUSSUA pale stadio de ukrainee

American citizens should leave now," Biden said in an interview with NBC News anchor Lester Holt.

Maneno ya Rais wa USA
Aliyatoa Huku akiwa anatetemekaaliwaambia hivi waandishi wa habari.:

“It’s not like we’re dealing with a terrorist organization. We’re dealing with one of the largest armies in the world. It’s a very different situation, and things could go crazy quickly,” he said.

Holt asked Biden what scenario could prompt him to send troops to rescue Americans fleeing the country. Biden replied: “There’s not. That's a world war when Americans and Russia start shooting at one another.”

"We’re in a very different world than we’ve ever been," he added.

Kama Rais wa taifa la USA kasema hivyo,Kuna takataka Gani inaweza kubadili kauli yake juu ya nchi ya Marekani?
 
Labda nikuhoji suala dogo lenye mantiki,je,uliwahi kujaribu walao kufanya kautafiti kidogo na kubaini idadi ya wanajeshi wa Kimerikani waliokufa kwenye vita ya VietNam?Je,ni Ndege ngapi za vita (Jetfighters, Bombers na Helicopters) zilizo wahi kutunguliwa kwenye anga la VietNam - kwa kukusaidia zilitunguliwa zaidi ya ndege 20,000(elfu ishirini) za USA - such staggering number is unquestionably unprecedented don't you think??

Hapa swali ni:nani alihusika kuwapatia silaha kali wa VietCong za kuwadabisha Wamerikani mpaka Majenelali wao na NCO wanakimbia barefooted kwa kuhofia kutiwa mbaroni na advancing VietCong army katika mji wa Saigon i.e US soldiers were cutting and running like mad petrified by a column of advancing VietCong TANKS - jaribu kutafuta video clip ya tukio hilo la mwaka 1975, labda kuna kitu utajifunza, juzi juzi hapa tukio kama hilo lilijitokeza kwa mara nyingine tena huko Afghanistan,wote tuliona jinsi wanajeshi wa Uncle SAM walivyo kuwa wanatimua mbio kali wakiwakimbia wataleban - wana sukumana na raia ili wawahi kupanda ndege kabla hawaja kamatwa na Wataliban!!

Sasa tutajie idadi ya wanajeshi wa Urusi waliowahi kupoteza maisha katika Vita ya VietNam-kumbuka Warusi ndio walikuwa wanawapatia WavietCong silaha za viwango vya hali ya juu kukabilianana USA Army - je,na sisi tuseme Wamerika walikuwa wajinga kwa kuangamizwa kwa silaha za Urusi nchini VietNam wakati Warusi walikuwa hawafi,cha ajabu Warusi wanapokufa kutokana na silaha za kimerikani zinazo tumiwa na Ukraine wewe unasema Warusi ni wajinga sana-hii wapi na wapi - bottom line is:wakati mwingine tujifunze kubakiza akiba ya maneno huo, ndio ushauri wangu.
👏👏👏👏👏Bukyanagandi umepotea sana Mkuu.
Tulimiss sana madini Yako.
 
Hii vita mbona bado changa, US ndo mwenye hatma ya hii vita. Akiamua Russia ashinde atashinda, akiamua Ukraine ashinde basi itakuwa hivyo. Kwa sasa hakuna ajuaye kwa 100% ni nini US inataka ktk vita hii.
Mashoga wanatabu...!!!
 
Russia kapiga wamarekani wako huko Syria.
Hahahah! Kule Syria Hadi ndege ya Russia ilidondoshwa baada ya kuchezewa acrobatics na ndege chapa US chini ya IDF, Pale Ukraine Arena Hadi Sasa meli mbili zimezamishwa na wanajeshi zaidi ya 30,000 wa Russia washachinjiliwa mbali, wakati hakuna hata msoldier mmoja wa US aliyepata japo hata mikwaruzo
 
Labda nikuhoji suala dogo lenye mantiki,je,uliwahi kujaribu walao kufanya kautafiti kidogo na kubaini idadi ya wanajeshi wa Kimerikani waliokufa kwenye vita ya VietNam?Je,ni Ndege ngapi za vita (Jetfighters, Bombers na Helicopters) zilizo wahi kutunguliwa kwenye anga la VietNam - kwa kukusaidia zilitunguliwa zaidi ya ndege 20,000(elfu ishirini) za USA - such staggering number is unquestionably unprecedented don't you think??

Hapa swali ni:nani alihusika kuwapatia silaha kali wa VietCong za kuwadabisha Wamerikani mpaka Majenelali wao na NCO wanakimbia barefooted kwa kuhofia kutiwa mbaroni na advancing VietCong army katika mji wa Saigon i.e US soldiers were cutting and running like mad petrified by a column of advancing VietCong TANKS - jaribu kutafuta video clip ya tukio hilo la mwaka 1975, labda kuna kitu utajifunza, juzi juzi hapa tukio kama hilo lilijitokeza kwa mara nyingine tena huko Afghanistan,wote tuliona jinsi wanajeshi wa Uncle SAM walivyo kuwa wanatimua mbio kali wakiwakimbia wataleban - wana sukumana na raia ili wawahi kupanda ndege kabla hawaja kamatwa na Wataliban!!

Sasa tutajie idadi ya wanajeshi wa Urusi waliowahi kupoteza maisha katika Vita ya VietNam-kumbuka Warusi ndio walikuwa wanawapatia WavietCong silaha za viwango vya hali ya juu kukabilianana USA Army - je,na sisi tuseme Wamerika walikuwa wajinga kwa kuangamizwa kwa silaha za Urusi nchini VietNam wakati Warusi walikuwa hawafi,cha ajabu Warusi wanapokufa kutokana na silaha za kimerikani zinazo tumiwa na Ukraine wewe unasema Warusi ni wajinga sana-hii wapi na wapi - bottom line is:wakati mwingine tujifunze kubakiza akiba ya maneno huo, ndio ushauri wangu.
Jikite kwenye Mada sheikh
 
Moja ya kitu ambacho US hakukitegemea na hakipendi na hataki hata kukisikia, Russia kuuza bidhaa zake na rasilimali zake kwa Ruble (nazani mnakumbuka Gadafi kilicho mkuta).

Na ruble kila siku inazidi kupaa,hiki alicho kifanya kitawashtua na kuzihamasisha nchi nyingine ziuze bidhaa na rasilimali zao kwa hela zao ni swala la mda hii vita italeta mapinduzi makubwa na mitizamo mipya kiuchumi. US kishaona dalili dola yake inaenda kupotezwa polepole.
Hata pesa ya saudia inasamani kuliko dollar, lakin bado Dollar ndo habari ya dunia hahaha!
 
Hilo swali atajibu vzr Zele.. yeye amesema wanakufa 100 kila dk watu wenu mliowapeleka mbele.
Kuhusu silaha. Mlisema mlimpa zaidi ya mahitaji ila HAZIPO .Kama amepoteza kwa kuuza MUULIZENI

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hao ni wa Ukraine, na waukraine na warusi ni ndugu, kwa hiyo hata wakifa ni sawa tu make ni warusi walewale, hii ngoma ni US vs Russia wanaokufa ni warusi tu, inaumaa!
 
Vitani kupoteza vifaa na watu si Jambo la kushangaza. Unajua kwanini kuanzia mwanzo Hadi mwisho was Vita Askari was pande 2 hushindana kuua na kuharibu vifaa vya adui.
Aghalabu Ni ajabu kuona mtu anashangaa Sana kuharibuliwa kwa silaha za US au Russia au uchina.
State of the art weapons Kama moscova ama f 111 ziliharibiwa zikaacha watu wakijiuliza ziko wapi sifa za kwenye karatasi vitani?
Wanajeshi 30,000 kwa 0
 
Hii iko wazi kwamba vita inayoendelea pale Ukraine ni kati ya Marekani na Urusi pale Ukraine ni uwanja wa vita tu. Na hadi sasa matokeo ya vita hiyo ni kama ifuatavyo, Marekani haijapoteza askari hata mmoja, meli vita, ndege vita wala kifaru chochote, wakati urusi kapoteza askari zaidi ya 30,000, meli vita pamoja na mamia ya vifaru, na hicho ndo kinamuuma Putin.

Yaani anapigana na adui yake mkubwa Marekani, wao warusi wanakufa lakini wamarekani hawafi! Dah! Inauma sana kwa kweli. Ila Marekani ni mjanja sana, anapigana vita na Urusi bila wanajeshi wake kufa. Na hicho ndo inafanya hii vita iendelee kwa muda mrefu sababu wamarekani hawafi, hakuna kitu US inathamini kama uhai wa mmarekani na kwa vile hakuna mmarekani anayekufa basi kitazidi kuumana.

Wakati Russia mwenye uchumi mdogo anapoteza pesa na askari wake, US mwenye uchumi mkubwa anapoteza pesa tu bila askari wake.hivyo basi utagundua Russia kapoteza kwa kiasi kikubwa mno kwenye hii vita wakati US yeye kwa mujibu wa China anafaidika na hii vita.

Putin inabidi afanye namna ili na wamarekani wafe sio wanakufa warusi tu na waukraine, hapa waukraine wanakufa kwa niaba ya wamarekani na Ukraine sio adui wa Russia hata kidogo.
Unaionaje bajeti ya serikali 2022-2023 ya Mwigulu Nchemba?
 
Back
Top Bottom