joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,193
- 31,827
Moja ya kitu ambacho US hakukitegemea na hakipendi na hataki hata kukisikia, Russia kuuza bidhaa zake na rasilimali zake kwa Ruble (nazani mnakumbuka Gadafi kilicho mkuta).
Na ruble kila siku inazidi kupaa,hiki alicho kifanya kitawashtua na kuzihamasisha nchi nyingine ziuze bidhaa na rasilimali zao kwa hela zao ni swala la mda hii vita italeta mapinduzi makubwa na mitizamo mipya kiuchumi. US kishaona dalili dola yake inaenda kupotezwa polepole.