Vita ya Israel Vs Palestina Imeifunika kabisa Russia Vs Ukraine

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina?

Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha.

Au wanaviziana?

Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa mataifa yenye vita ili waishi kwa amani na upendo.
 
corona iliondosha nzige, vita vya ukrain vikaondosha corona, vita vya palestina vikainyamazisha ukrain na urusi, anayefuatia.......
 
Back
Top Bottom