Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,204
- 7,892
Hii iko wazi kwamba vita inayoendelea pale Ukraine ni kati ya Marekani na Urusi pale Ukraine ni uwanja wa vita tu. Na hadi sasa matokeo ya vita hiyo ni kama ifuatavyo, Marekani haijapoteza askari hata mmoja, meli vita, ndege vita wala kifaru chochote, wakati urusi kapoteza askari zaidi ya 30,000, meli vita pamoja na mamia ya vifaru, na hicho ndo kinamuuma Putin.
Yaani anapigana na adui yake mkubwa Marekani, wao warusi wanakufa lakini wamarekani hawafi! Dah! Inauma sana kwa kweli. Ila Marekani ni mjanja sana, anapigana vita na Urusi bila wanajeshi wake kufa. Na hicho ndo inafanya hii vita iendelee kwa muda mrefu sababu wamarekani hawafi, hakuna kitu US inathamini kama uhai wa mmarekani na kwa vile hakuna mmarekani anayekufa basi kitazidi kuumana.
Wakati Russia mwenye uchumi mdogo anapoteza pesa na askari wake, US mwenye uchumi mkubwa anapoteza pesa tu bila askari wake.hivyo basi utagundua Russia kapoteza kwa kiasi kikubwa mno kwenye hii vita wakati US yeye kwa mujibu wa China anafaidika na hii vita.
Putin inabidi afanye namna ili na wamarekani wafe sio wanakufa warusi tu na waukraine, hapa waukraine wanakufa kwa niaba ya wamarekani na Ukraine sio adui wa Russia hata kidogo.