Ukraine yadai kudungua ndege za kivita za Urusi

Messenger RNA

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,103
3,023
Jeshi la Ukraine linasema kuwa lilidungua ndege tatu za kivita za Urusi kusini mwa nchi hiyo siku ya Ijumaa.

Ndege tatu za kivita aina ya Su-34 zilidunguliwa katika eneo la Kherson, jeshi la wanahewa la Ukraine lilitangaza.

Rais Volodymr Zelensky aliwashukuru wanajeshi walioangusha ndege hizo, akisema tukio hilo lilifanyika katika Mkoa wa Kherson wenye vita.

Urusi haijatoa maoni yoyote kuhusu kupotea kwa ndege zake, lakini Fighterbomber, mwanablogu mashuhuri wa vita vya Urusi, aliripoti kupotea kwa idadi isiyojulikana ya ndege, akisema labda ziliangushwa na makombora ya Patriot yaliyotengenezwa na Amerika.

Wafanyakazi wote walionusurika na waliokufa walipatikana, mwanablogu aliongeza.

Ukraine inakabiliwa na uhaba wa risasi huku ikiendelea kupambana na majeshi ya Urusi, kufuatia uvamizi kamili wa Moscow mnamo Februari 2022.

Kyiv ilisitisha makabiliano ya kujibu mashambulizi mwanzoni mwa majira ya baridi, huku Marekani - ambayo ni mfadhili mkuu wa kijeshi wa Ukraine – ikipunguza ufadhili zaidi juhudi za vita vya Ukraine.

Katika mkutano na waandishi wa habari wa mwisho wa mwaka wiki hii, Bw Zelensky alisisitiza kwamba Ukraine haishindwa katika vita vyake dhidi ya Urusi.
BBC swahili
 
The Armed Forces of Ukraine spent a long time ‘hunting’ for three Russian Su-34 fighter-bombers, which had been downed in the south of the country today.
The relevant statement was made by National Security and Defense Council of Ukraine (NSDC) Secretary Oleksiy Danilov in a commentary to Ukrainian Radio, an Ukrinform correspondent reports.

“Now we can reveal a small secret: the hunt for them [three Russian Su-34 fighter-bombers – Ed.] has lasted for a long time,” Danilov told.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii vita ikitoboa krissmass ya 2024 sijui
Urusi lzm ajitafakari , kuna hati hati ya civil war ndan ya Urusi , kuna kundi kubwa haliungi mkono vita , West ni wajanja wamejitoa ili ibakie kuonekana ni vita vya Ukraine na Russia ili ibebe taswira mpya kbs na wao wajioneshe kama wamejikita kwa Gaza , Punde si Punde Mandonga ataanza kupumulia milija
 
Jeshi la Ukraine linasema kuwa lilidungua ndege tatu za kivita za Urusi kusini mwa nchi hiyo siku ya Ijumaa.

Ndege tatu za kivita aina ya Su-34 zilidunguliwa katika eneo la Kherson, jeshi la wanahewa la Ukraine lilitangaza.

Rais Volodymr Zelensky aliwashukuru wanajeshi walioangusha ndege hizo, akisema tukio hilo lilifanyika katika Mkoa wa Kherson wenye vita.

Urusi haijatoa maoni yoyote kuhusu kupotea kwa ndege zake, lakini Fighterbomber, mwanablogu mashuhuri wa vita vya Urusi, aliripoti kupotea kwa idadi isiyojulikana ya ndege, akisema labda ziliangushwa na makombora ya Patriot yaliyotengenezwa na Amerika.

Wafanyakazi wote walionusurika na waliokufa walipatikana, mwanablogu aliongeza.

Ukraine inakabiliwa na uhaba wa risasi huku ikiendelea kupambana na majeshi ya Urusi, kufuatia uvamizi kamili wa Moscow mnamo Februari 2022.

Kyiv ilisitisha makabiliano ya kujibu mashambulizi mwanzoni mwa majira ya baridi, huku Marekani - ambayo ni mfadhili mkuu wa kijeshi wa Ukraine – ikipunguza ufadhili zaidi juhudi za vita vya Ukraine.

Katika mkutano na waandishi wa habari wa mwisho wa mwaka wiki hii, Bw Zelensky alisisitiza kwamba Ukraine haishindwa katika vita vyake dhidi ya Urusi.
BBC swahili
20231218_195627.jpg

UMESEMA UKRAINE WANAWADAI NINI URUSI
 
Inaonekana Patriot imesogezwa Kherson
Marubani wa Urusi walionya hivi karibuni kufanya detection ya powerful radar emitter kwa ghafla walipokuwa Kherson. Inasemekana kwenye maeneo ya ukingo wa mto ndio Ukraine wameweka position ya Patriot.

Na ubaya wa Su-34 fighter bomber ni kwamba radar warning receivers zake ni outdated, kwenye modernization ya Patriot waliondoa features fulani zinazofanya radar iwe detected kirahisi. Hivyo marubani walishtukizwa na huwezi kimbia AA missile kwa fighter jet. Ila Warusi wanadai marubani wamefanya ejection na wameokolewa tiyari.
 
Tutegemee Urusi kurudisha nyuma ndege zake
 
Urusi lzm ajitafakari , kuna hati hati ya civil war ndan ya Urusi , kuna kundi kubwa haliungi mkono vita , West ni wajanja wamejitoa ili ibakie kuonekana ni vita vya Ukraine na Russia ili ibebe taswira mpya kbs na wao wajioneshe kama wamejikita kwa Gaza , Punde si Punde Mandonga ataanza kupumulia milija

Civil war mlikua mnatwambia tokea mwaka 2022 mpaka leo nabado hatujaiona
Civil War ndani ya Russia musahau ndio dua zenu baada ya kushindwa kuibomoa Russia
 
Urusi lzm ajitafakari , kuna hati hati ya civil war ndan ya Urusi , kuna kundi kubwa haliungi mkono vita , West ni wajanja wamejitoa ili ibakie kuonekana ni vita vya Ukraine na Russia ili ibebe taswira mpya kbs na wao wajioneshe kama wamejikita kwa Gaza , Punde si Punde Mandonga ataanza kupumulia milija
Ona sasa umekojoa kitandani
 
Marubani wa Urusi walionya hivi karibuni kufanya detection ya powerful radar emitter kwa ghafla walipokuwa Kherson. Inasemekana kwenye maeneo ya ukingo wa mto ndio Ukraine wameweka position ya Patriot.

Na ubaya wa Su-34 fighter bomber ni kwamba radar warning receivers zake ni outdated, kwenye modernization ya Patriot waliondoa features fulani zinazofanya radar iwe detected kirahisi. Hivyo marubani walishtukizwa na huwezi kimbia AA missile kwa fighter jet. Ila Warusi wanadai marubani wamefanya ejection na wameokolewa tiyari.
We mgambo wa jwtz unachekeshaga sana
 
Mtaalamu uchwara wa silaha.wewe si ulisema NATO wanasilaha bora kuliko urusi?mbona hizo silaha zimekuwa takataka mbele ya warusi na hazijawasaidia chochote sasa hivi urusi anasonga mbele kiurahisi tu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Urusi lzm ajitafakari , kuna hati hati ya civil war ndan ya Urusi , kuna kundi kubwa haliungi mkono vita , West ni wajanja wamejitoa ili ibakie kuonekana ni vita vya Ukraine na Russia ili ibebe taswira mpya kbs na wao wajioneshe kama wamejikita kwa Gaza , Punde si Punde Mandonga ataanza kupumulia milija
Unaona wasapoti NATO wamechanganyikiwa sana.sasa hapa ndo umeandika nini?ndo mjue urusi ndo superpower halisi.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Unaona wasapoti NATO wamechanganyikiwa sana.sasa hapa ndo umeandika nini?ndo mjue urusi ndo superpower halisi.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Pro nato hawataki kuamini wanachokiona ingawaje ndio ukweli
Kuna bwana yule alikua anatwambia tungojee ukraine waanze kaunta offensive dhidi ya maeneo yao
Ila tokea kuanza kwa kaunta attacks yao jamaa hajatupa tena mregesho naona katutelekeza
 
Back
Top Bottom