Hii Vita ni Marekani vs Urusi katika uwanja vita wa Ukraine

American citizens should leave now," Biden said in an interview with NBC News anchor Lester Holt.

Maneno ya Rais wa USA
Aliyatoa Huku akiwa anatetemekaaliwaambia hivi waandishi wa habari.:

“It’s not like we’re dealing with a terrorist organization. We’re dealing with one of the largest armies in the world. It’s a very different situation, and things could go crazy quickly,” he said.

Holt asked Biden what scenario could prompt him to send troops to rescue Americans fleeing the country. Biden replied: “There’s not. That's a world war when Americans and Russia start shooting at one another.”

"We’re in a very different world than we’ve ever been," he added.

Kama Rais wa taifa la USA kasema hivyo,Kuna takataka Gani inaweza kubadili kauli yake juu ya nchi ya Marekani?
Biden alisema waliwafukuza wanajeshi wa urusi wasiikamate Kyiv wakakimbilia maporini huko kuteka mapori, vipi hili la majenerali 12 la wa urusi kufa huku hakuna jenerali wake hata mmoja aliyekufa, bwana Biden amesemaje kuhusu hilo?
 
Hii iko wazi kwamba vita inayoendelea pale Ukraine ni kati ya Marekani na Urusi pale Ukraine ni uwanja wa vita tu. Na hadi sasa matokeo ya vita hiyo ni kama ifuatavyo, Marekani haijapoteza askari hata mmoja, meli vita, ndege vita wala kifaru chochote, wakati urusi kapoteza askari zaidi ya 30,000, meli vita pamoja na mamia ya vifaru, na hicho ndo kinamuuma Putin.

Yaani anapigana na adui yake mkubwa Marekani, wao warusi wanakufa lakini wamarekani hawafi! Dah! Inauma sana kwa kweli. Ila Marekani ni mjanja sana, anapigana vita na Urusi bila wanajeshi wake kufa. Na hicho ndo inafanya hii vita iendelee kwa muda mrefu sababu wamarekani hawafi, hakuna kitu US inathamini kama uhai wa mmarekani na kwa vile hakuna mmarekani anayekufa basi kitazidi kuumana.

Wakati Russia mwenye uchumi mdogo anapoteza pesa na askari wake, US mwenye uchumi mkubwa anapoteza pesa tu bila askari wake.hivyo basi utagundua Russia kapoteza kwa kiasi kikubwa mno kwenye hii vita wakati US yeye kwa mujibu wa China anafaidika na hii vita.

Putin inabidi afanye namna ili na wamarekani wafe sio wanakufa warusi tu na waukraine, hapa waukraine wanakufa kwa niaba ya wamarekani na Ukraine sio adui wa Russia hata kidogo.
Marekani si mjanja bali ni mwoga!! Marekani hajawahi kupigana vita kama yeye (bila kutumia wengine) akashinda vita! Hata huko ambako hutumia pia na kuungwa mkono na wengine mara nyingi hushindwa! Mfano wa hivi karibuni ni vita ya marekani na washirika wake dhidi ya Taleban nchini Afghanistan. Amepigana vita kwa miaka takriban 20 na akashindwa vita na kuikimbia afghanistan bila kupata hata nafasi ya kuchukua vitu vyake!! Huku nyuma afghanistan wakajichukulia nchi kiulaini! Nchini Syria Marekani kwa kushirikiana na muungano wa waasi wa syria walikuwa wanataka kumwondoa Rais wa syria. Mrusi alipotia mguu wake marekani akashindwa!!
 
Huo ndo ujanja wenyewe, anafanya hivyo ili asilaumiwe peke yake, anatafuta kwanza uungwaji mkono ili asitengwe na dunia, sio kama Russia anaenda kichwakichwa kama ling'ombe matokeo yake yeye peke yake anaonekana mbaya na kupigwa vikwazo, Marekani anaingia mzigoni kwa uungwaji mkono wa UK, France, Germany, Canada, Australia,nk hizo nchi zote unawezaje kuzipiga vikwazo? Na ni nani anaweza kufanya hivyo?! Na hiyo ndo janja ya Marekani. Hivi mfano Russia angeingia vitani kwa kuungwa mkono na China, Germany, France, Uturuki, Italy,nk unafikiri nchi zote hizo zingewekewa vikwazo?! Akili mukichwa.
 
Biden alisema waliwafukuza wanajeshi wa urusi wasiikamate Kyiv wakakimbilia maporini huko kuteka mapori, vipi hili la majenerali 12 la wa urusi kufa huku hakuna jenerali wake hata mmoja aliyekufa, bwana Biden amesemaje kuhusu hilo?
Nani kawambieni Putin alikuwa na mpango wa kuikamata Kiev??

Putin alipeleka Kiev magari ya vita mainly APCs na vifaru vichache kama decoy ya kumfanya Zelensky ahamishe sehemu ya nguvu ya jeshi lake kutoka kusini kwenda kaskazini kuyapa tuff majeshiyake yaliyokuwa yana defend Kiev - Zelensky na washauri wake wa NATO walifikiri Putin ana lengo la kuteka jiji la Kiev, kumbe sio hata kidogo ndio maana wanajeshi wa Urusi waliishia kwenye viunga vya mji wa Kiev hawa kuingia ndani ya jiji na hiyo ndio ilikuwa plan ya jeshi la Putin tangu mwanzo - yaani kumfanya Zelensky ahamishe baadhi ya nguvu za jeshi lake kutoka kusini kuja kaskazini.

Mbinu hizo za Putin zilifanikiwa sana kwa kufanikisha Jeshi lake kuweza kutwaa asilimia20% ya taifa la Ukraine inayokaliwa na Waukraine wenye asili ya Urusi huko kusini mwa Ukraine,cha ajabu media za magharibi zina eneza propaganda za uongo kwa kudai eti:jeshi la Putin lilishindwa kuteka mji wa Kiev wakati wakijua wazi kwamba wanajeshi wa Russia waliondoka wenyewe kwenye viunga vya mji wa Kiev baada ya kutimiza malengo yao ya kuzuga Zelensky na washauri wake
 
Back
Top Bottom